Diwani wa CCM Rombo ajiuzulu

King Innocent

JF-Expert Member
Dec 13, 2011
1,001
623
Diwani wa ccm kata ya Mrao keryo, wilaya ya Rombo. ndgu. Felisian Marandu amejiuzulu kwa sababu za kiafya. Na leo amefanya mkutano katika kijiji cha Mmomwe kuwaaga wapigakura waka
 
Afya yake imekuwaje tena MKUU? Maana huko Rombo mambo ya siasa nayo ni mgando mgando sana!!!! Chadema kiti hicho!
 
Awe anakula vizuri.
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1338473909293.jpg
    uploadfromtaptalk1338473909293.jpg
    77.5 KB · Views: 158
Diwani wa ccm kata ya Mrao keryo, wilaya ya Rombo. ndgu. Felisian Marandu amejiuzulu kwa sababu za kiafya. Na leo amefanya mkutano katika kijiji cha Mmomwe kuwaaga wapigakura waka

Au kashapata ugonjwa wa M4C?.
 
Diwani wa ccm kata ya Mrao keryo, wilaya ya Rombo. ndgu. Felisian Marandu amejiuzulu kwa sababu za kiafya. Na leo amefanya mkutano katika kijiji cha Mmomwe kuwaaga wapigakura waka

Jamani huyu kashapewa mihela ya M4C ,kazi kweli kweli
 
Pole sana diwani kwa maradhi yanayokusumbua.Pia tunatoa shukurani kwa kutupa nafasi nyingine ya kusonga mbele.ubarikiwe sana utapona haraka.
 
Diwani wa ccm kata ya Mrao keryo, wilaya ya Rombo. ndgu. Felisian Marandu amejiuzulu kwa sababu za kiafya. Na leo amefanya mkutano katika kijiji cha Mmomwe kuwaaga wapigakura waka

Aaa anaumwa wapi ?? Janja ya nyani kula maidi bichi . mi namfahamu sana huyu jamaa ni kesha jua watu wamestukia mambo yake.
si alijua Chadema wakifika kule lazima wata waambia wananch akaamua kuondoka mapema . usifikiri kunamtu anatosheka na hela eti ana umwa si aliweza fanya mkutano kuumwagani huko

Mwandosia ana umwa mbaya lakini uongozi haachii . tusidanganyane eti anaumwa ni madili yamegoma
 
Afya yake imekuwaje tena MKUU? Maana huko Rombo mambo ya siasa nayo ni mgando mgando sana!!!! Chadema kiti hicho!
Hold on pal! Yapo mgando kivipi? Kwa kuchagua upinzan(cdm) coz walianza since 1995 au kivipi? Au kwa huyo mh. kujiondoa ndo kunandihirisha u mgando wao??
 
Back
Top Bottom