Diwani wa CCM Rombo ajiuzulu

Diwani wa ccm kata ya Mrao keryo, wilaya ya Rombo. ndgu. Felisian Marandu amejiuzulu kwa sababu za kiafya. Na leo amefanya mkutano katika kijiji cha Mmomwe kuwaaga wapigakura waka

Hue ni ndani wa Ojibwa. Sio unaumwa unang'ang'ania tu, unakuwa mzigo Mara mbili :magi Abu na kuziba nafasi ambayo huitedei haki.:evil:
 
Diwani wa ccm kata ya Mrao keryo, wilaya ya Rombo. ndgu. Felisian Marandu amejiuzulu kwa sababu za kiafya. Na leo amefanya mkutano katika kijiji cha Mmomwe kuwaaga wapigakura waka

Smart guy; his contribution in kind to M4C; kudos Felician Marandu
 
Diwani wa ccm kata ya Mrao keryo, wilaya ya Rombo. ndgu. Felisian Marandu amejiuzulu kwa sababu za kiafya. Na leo amefanya mkutano katika kijiji cha Mmomwe kuwaaga wapigakura waka

Nnampa pole huyu ndugu Felisian,atapona tu asijali.
 
Hold on pal! Yapo mgando kivipi? Kwa kuchagua upinzan(cdm) coz walianza since 1995 au kivipi? Au kwa huyo mh. kujiondoa ndo kunandihirisha u mgando wao??

Hapana mkuu kule wananyemeleana sana!!! Hivi ulipata mambo ya kutatanisha aliyokuwa anafanya Mramba wakati wa uchaguzi? Pia yule mbunge mwingine at one time alipata kumuweka Mramba pembeni (jina limenitoka kidogo) mambo yake balaa!!! Anyway, yawezekana ni ugonjwa wa Mungu ila CDM ni lazima wakamate jimbo tena kiulaini kabisa!!!
 
Ni ugonjwa, Mungu atakuponya. Ila ukishapona fanya uamuzi wa kizalendo wa kuchukua kadi ya CDM na kugombea udiwani wako tena. Jiunge na Selasini!
 
Back
Top Bottom