Ndalama
JF-Expert Member
- Nov 22, 2011
- 8,787
- 6,533
Ukiondoa arusha na kamaha,siwahi kusikia kuna kiongozi mwingine amehama
Dodoma hujasikia? Bukoba je?
Ukiondoa arusha na kamaha,siwahi kusikia kuna kiongozi mwingine amehama
Diwani wa Kata ya baraa na aliyewahi kushika Umeya wa Arusha mjini miaka ya Nyuma kupitia CCM Lotha Paul Laiza jana amejiondoa kwenye chama cha mapinduzi (CCM) na kujiunga kwenye chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Huu ni mwendeleza wa viongozi wa CCM wanaojitoa kwenye chama hicho na kujiunga na vyama vya upinzani.
View attachment 272371
hii haitusaidiii kama hamtuelezi Dr Slaa yupo wapi
hii haitusaidiii kama hamtuelezi Dr Slaa yupo wapi
Lema kadi za makontena ulizoagiza kutoka China zitakuja lini??? Huku kwetu zimekwisha Tuma ndege iende China mapema Usiwe na wasiwasi ya magwanda..fundi mchundo kaongeza cherehani na wanafunzi wa VETA wana neemeka!!!!
Ukiondoa arusha na kamaha,siwahi kusikia kuna kiongozi mwingine amehama