Diwani wa CCM afariki India

R.I.P hakika tulikupenda Mungu amekupenda zaidi,ila unaacha kumbukumbu ya kata kurudi katika ukombozi pamoja na Kata ya Mletele iliyopo Songea Mjini.
 
Wamzike kihindi,fire kwenda mbele.taifa linaingia hasara kumsafirisha.RIP gamba,RIP ccm
 
Tunataka wafe wabunge bwana diwani wa nini sasa ..jamanii mbona mnauana kwenye mambo yasiyofaa tulteeni msiba wa mbunge wa ccm tuanze kazi

BASIASI!hapo umevuka mipaka hakuna mwanadam awezae jua au panga kifo cha mtu,na kila nafsi itaonja mauti.ingawaje mm nimwana chadema.
 
Binadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi ni chache,hivyo wote waliozaliwa na mwanamke wataonja mauti,lakini kwa wale tunaendelea kupumua ukombozi daima mbele nyuma mwiko!
 
Kama humtakii mtu arest in Peace na badala yake arrest kwenye trouble unasema je kwa kiinglishi? Mfano akifa Rostham Azizi siwezi kusema rest in peace..........nataka niseme rest in trouble ( Naweza kusemaje? ) RIT
 
R.I.P Dr. Maiseli. ulikua makini sana lakini wapinzani wako ndani ya CCM walikupiga vita sana. Naamini Chadema waje kuchukua jimbo lao sasa.
 
RIP diwani vetenari...

Kata zimekuwa mbili pamoja na ile ya diwani wa magamba aliyejinyonga Ludewa baada ya kuzidiwa na madeni
 

Diwani wa CCM kata ya Mpwapwa amefariki huko India aikoenda kwa matibabu, amefariki usiku wa kuamkia leo baada ya kupigana na ugonjwa wa ini uliopelekea figo zake kufeli kabisa. Huko India alienda kwa nguvu za familia baada ya madaktari wa bongo kumshauri asiende huko, sasa wanainchi wanajiuliza gharama za kurudisha maiti zitakuwa za nani. Diwani huyu alijulikana kwa jina la Dr. Noah Maiseli ni msomi aliyesomea mambo ya vetenali na alikuwa amestaafu kazi serikalini.


MY TAKE : Chadema inaweza kuchukua kata hii kwa sababu Kigaila aliisha waamsha miezi kadhaa iliyopita na teyali wemiisha fungua ofisi na kadi zinauzwa kama njugu. Ila wakati Kigaila anawaamsha kiongozi mmoja wa CDM toka mkoa upande wa akinamama akijulikana kama EVA Mpagama aliwatukana walimu wanawake wa Mpwapwa kwani anabeaf nao mmoja wao anachukuliwa na mme wake walioachana kwa hiyo hafai kuja huku kifanya kampeni kwa sababu walimu wanawake wanaweza kupiga kura ya chuki.


Ngoja tu stick kwenye taarifa za msiba kwanza. Mambo ndoa kwenye kampeni.
R.I.P. Diwani
 
Back
Top Bottom