divide et impera kufanikiwa kesho?

nenda kwenye chuo kikuu hapo jimboni kwenu utaipata, au agiza kitabu chake chenye same tile via amazon - practice what u preach, usipende vya dezo (kijamaa)

Si unaona ninavyokuzidi mkuu. Wewe unataka huduma za kila kitu bure na ukikosa unagoma kama haki yako. Mimi nataka dessemination of research information and findings iwe bure hili niwe kusaidia humanity.
 
Back
Top Bottom