divide et impera kufanikiwa kesho?

Ulimboka kupewa kijiti was tactical, MAT were smart and they expected such individual isolation tactic, and Ulimboka knew well the risks...

the clock is ticking!!
 
kwa nini kina dakta mkopi walimkabidhi mikoba dakta ulimboka? je,watamsaliti?
 
Wewe unapenda sana dezo. Ulishasikia professor Maji Marefu anagoma?

wewe unakula dezo za medical reform package ya obama halafu hutaki wenzako wafaidike na public hospitals (product of citizens' taxes) ?

PS. Nakamilisha utafiti wa historia ya ubepari Tanzania, mada yako ya kujitegemea inaibuka kila kona - Tanzania hakukuwa na Ujamaa!
 
Nipo mkuu. Ujamaa ulikuwepo lakini they didn't know what they were doing. Itabidi nifanye PHd. in Economics sasa. Toka tuanze miaka hile ya zamani I have covered a lot of grounds in the displine.
 
kwa nini kina dakta mkopi walimkabidhi mikoba dakta ulimboka? je,watamsaliti?

i dont think watamsaliti kwani hayuko peke yake

na kwa wewe kupick on mwakingwe, naona kama unafanya yaleyale aliyofanya pinda, divide and rule, am i missing something from you?
 
acha hizo, hao nawakubali toka enzi za azaboys, ni wasiwasi tu ninao maana tanzania mbayuwayu wengi!
 
Nipo mkuu. Ujamaa ulikuwepo lakini they didn't know what they were doing. Itabidi nifanye PHd. in Economics sasa. Toka tuanze miaka hile ya zamani I have covered a lot of grounds in the displine.

great idea, natumai umeshasoma phd ya justinian rweyemamu kuhusu 'perverse capitalist industrial development in tanzania, ndio naisoma sasa
 
Bado sijaisoma. Kama ipo online nitumie link. Kutokana na crisis ya fedha, kazini tumepewa tenda ya kutengeneza risk management system na knowledge nayopata inaonyesha kuwa zile ideas za De Soto ni tip of the iceberg. Unaweza kuimplement zile ideas na bado ukatoka sifuri.
 
Inanikumbusha ule mgomo wa makampuni yanayouza mafuta last year...mwenyekiti wa TAOMAC akaambiwa yeye binafsi ameiamuru serikali ibadilishe bei...state agents at their best!!!
 
Bado sijaisoma. Kama ipo online nitumie link. Kutokana na crisis ya fedha, kazini tumepewa tenda ya kutengeneza risk management system na knowledge nayopata inaonyesha kuwa zile ideas za De Soto ni tip of the iceberg. Unaweza kuimplement zile ideas na bado ukatoka sifuri.

nenda kwenye chuo kikuu hapo jimboni kwenu utaipata, au agiza kitabu chake chenye same tile via amazon - practice what u preach, usipende vya dezo (kijamaa)
 
Hawa watasambaratika tu,kwenye msafara wa mamba na kenge wamo,hakuna tukio lisilo na wasaliti.
 
Back
Top Bottom