Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 19,958
- 38,679
Watu wanaoandika wanachanganya kiswahili na kingereza huwa wananipa tabu sana. Kwanini mtu usiandike lugha moja ieleweke.
hua wanajikuta kujua sana akati ni ushamba tuWatu wanaoandika wanachanganya kiswahili na kingereza huwa wananipa tabu sana. Kwanini mtu usiandike lugha moja ieleweke.
Huo mwandiko hata huwezi kumpeleka media za kimataifa kama BBC, DW, Aljezera, VOA akapata kazi bado sana ile mahari ya M500 tunaisubiriHabari za hivi punde ni kuwa mwanadada Diva ( DivaDaily ) amesimamishwa kazi Clouds Media kutokana na kile kilichodaiwa kuwa ni “utovu wa nidhamu”
View attachment 1420712
Aseme nin ndo kwanza alikuwa anamuita kigagula mwenzake kule insta kwenye post mpka Diva akapatwa na hasiraAlikiba amesemaje baada ya huyo dada kufukuzwa kazi?
Bora hata umix lakini ueleweke....Watu wanaoandika wanachanganya kiswahili na kingereza huwa wananipa tabu sana. Kwanini mtu usiandike lugha moja ieleweke.
😀 😀 😀 😀Bora hata umix lakini ueleweke....
"Im like afu nikawa like omg..."
Nini hicho kwa mfano.
Alafu ana fans.
Au unakutaBora hata umix lakini ueleweke....
"Im like afu nikawa like omg..."
Nini hicho kwa mfano.
Alafu ana fans.
Amesimamishwa tu kwa mda,Habari za hivi punde ni kuwa mwanadada Diva ( DivaDaily ) amesimamishwa kazi Clouds Media kutokana na kile kilichodaiwa kuwa ni “utovu wa nidhamu”
View attachment 1420712
UshambaWatu wanaoandika wanachanganya kiswahili na kingereza huwa wananipa tabu sana. Kwanini mtu usiandike lugha moja ieleweke.
Hizi meseji clearly zimetengenezwa. Most watu wanapochat uwa hawa hawatajani majina kila sentence. Imekua group chat iyo hadi nikutaje?
Possibly ni kiki ya wimbo wa Ali, au Diva mwenyewe kamiss kuongelewa.
Zwazwa ni wewe tena zuzu plus.Acha uzwazwa wewe, nyie ndio mnaofikiriaga nyie tu ndio mnaoweza kitu ukiondoka hatopatikana replacement. Kwenye dunia hii haikosekanagi replacement y kitu chochote.
Tatizo nyodo too much...msaidieni kumshauri...yuko analia lia kule IG kwamba hana mama nk..Atapata kazi nyingine iliyokuwa Bora kuliko hiyo coz hakuna binadamu mkamilifu,pia atapata nafasi ya kujifunza alipojikwaa then Maisha yataendelea.Dont loose hope Diva
Alisema eti mahari yake ni 500m na mwanaume anayemgonga awe anaongea kiingereza sana na hela ya kutosha..sasa kumbe hata wa kariakoo wanajigongea bure pambafKwakweli maadili yanakataza kumcheka mtu au kumuombea mabaya mtu au kufurahia anguko la mtu..
LAKINI diva alikua kazidi mpuuzi yule.. alikua anajiona sana.. sasa anyooke dadeq zake..
Hata kama alipata kazi au hata akipata hela .kilichokua kinampa kiburi ni kuwa na kipindi clouds ambapo alikua napata platform ya kujimwambafai.. sasa aende akajimwambafai kwenye ule mjengo wake wa mil 500 aliokua anajenga
Bora hata umix lakini ueleweke....
"Im like afu nikawa like omg..."
Nini hicho kwa mfano.
Alafu ana fans.
Mbona na wewe upo kumtetea sana? Huo upimbi wake wa kudharau watu na kujiona yeye ni malaika ndo umemletea laana,Mkuu mbona umeonesha chuki kwa huyo mdada kiasi hiki?
Unashangilia kuanguka kwa mwenzio???
Inaweza kuwa jambo la faida kwake atapata muda wa kujiajiri, kusoma au kujaribu kutafuta fursa kwenye chombo kingine cha habari.
Inaweza kuwa kama kumpiga chura teke unamuongezea mwendokasi.