Diva the Bawse asimamishwa kazi Clouds Media

Acha uzwazwa wewe, nyie ndio mnaofikiriaga nyie tu ndio mnaoweza kitu ukiondoka hatopatikana replacement. Kwenye dunia hii haikosekanagi replacement y kitu chochote.
Zwazwa ni wewe tena zuzu plus.
We're not talking abt the f*cking world here we talk about Tanzania.
.
Nani anaweza kuwa replacement ya Diva kwenye ala za roho angalau akamkaribia au akamzidi aliyeko kwenye industry na aliyeko nje?
Watu tunaandika facts unaniletea maneno ya kihuni mimi 😟
 
Kwakweli maadili yanakataza kumcheka mtu au kumuombea mabaya mtu au kufurahia anguko la mtu..
LAKINI diva alikua kazidi mpuuzi yule.. alikua anajiona sana.. sasa anyooke dadeq zake..

Hata kama alipata kazi au hata akipata hela .kilichokua kinampa kiburi ni kuwa na kipindi clouds ambapo alikua napata platform ya kujimwambafai.. sasa aende akajimwambafai kwenye ule mjengo wake wa mil 500 aliokua anajenga
Alisema eti mahari yake ni 500m na mwanaume anayemgonga awe anaongea kiingereza sana na hela ya kutosha..sasa kumbe hata wa kariakoo wanajigongea bure pambaf

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora hata umix lakini ueleweke....

"Im like afu nikawa like omg..."
Nini hicho kwa mfano.
Alafu ana fans.

Ukichanganya lugha unaonekana una kwenda na wakati. Kiukweli wako nyuma ya wakati...
 
Mkuu mbona umeonesha chuki kwa huyo mdada kiasi hiki?

Unashangilia kuanguka kwa mwenzio???

Inaweza kuwa jambo la faida kwake atapata muda wa kujiajiri, kusoma au kujaribu kutafuta fursa kwenye chombo kingine cha habari.

Inaweza kuwa kama kumpiga chura teke unamuongezea mwendokasi.
Mbona na wewe upo kumtetea sana? Huo upimbi wake wa kudharau watu na kujiona yeye ni malaika ndo umemletea laana,

Usimtetee/ attention zako kwake usifikiri na wengine wako hivo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom