Disemba 9 kila mwaka: Tunasherehekea uhuru wa nchi ipi?

Shere hiyo ifutwe, La siku hiyo state ya Tanganyika itambuliwe, na bendera yake,
na wimbo wake wa Taifa. Tanganyika = Tanzania? Dont fool anybody.

images

Je siku hiyo mtatupa ruksa ya kupeperusha vibendera vya Tanganyika, kwa majonzi?

Ni ajabu kusherekea birthday ya kitu kilichokufa tangu 1964!
Halafu eti wanapindisha jina na kuita uhuru wa Tanzania Bara!!!!
 
Nimekuwa nikijiuliza sana kuhusu umuhimu wa hii sherehe ya miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika, wakati hata hilo jina la hiyo nchi linaogopwa kutajwa. Tanzania ina mika 47 tu haijafikisha miaka 50. Sasa kwanza tuelezwe vizuri, kama Tanganyika ilishakufa tuafanya maombolezo au tunasherehaka. Hii sherehe inabidi ifutwe tu. USA leo wakishehekea uhuru wao, hawazungumzii uhuru wa states. La basi Tannyika ijulikane kama state na siku hiyo ya sherehe iwe imetoka msukuleni. Sijui lakini, yaani sielewi kabisa.

Sasa bendera gani itakayopandishwa wakati wa sherehe, Tanganyika?
Wimbo gani wa miaka 50 utapigwa na kuimbwa?
Raisi gani atakaekuwa mgeni wa heshima? Tanganyika haina raisi
Mafanikio gani yatazungumzwa, tanganyika?

Na wewe unaesema ati tunachokoza muungano, ufikie kikomo sasa, kwanini zanzibar ina state na Tanganyika haina
Nani aliyeafiki?
Sisi wengine tulikuwepo, lakini hatukushirikishwa
Msituchukulie poa

Shere hiyo ifutwe, La siku hiyo state ya Tanganyika itambuliwe, na bendera yake , na wimbo wake wa Taifa.
Tanganyika = Tanzania? Dont fool anybody.

images
Je siku hiyo mtatupa ruksa ya kupeperusha vibendera vya Tanganyika, kwa majonzi?

TANGANYIKA INDEPENDENCE - British Pathe

http://www.britishpathe.com/record.php?id=42881

jitosheleze kwa maelezo ya wakati huo kwa kuclick hapo
 
9
Mkuu hayo majibu uliyoyatoa ni ya Kisiasa Zaidi na inakuwa ngumu kuweka katika ukweli,
Unapoitaja Tanzania unakuwa umeunganisha Tanganyika na Zanzibar, ambapo hakuna uhuru wa nchi inayoitwa Tanzania bali tunakuwa na siku ambayo Tanzania ilizaliwa kwa maana ingine siku ya muungano.
hiyo tisa december ni uhuru wa Tanganyika ambapo wanasiasa hawataki kusikia hilo neno Tanganyika.

Uko sahihi mkuu!!!!! 9 Desemba ni sherehe ya uhuru wa TANGANYIKA!!!!!!!!!!!
 
Nimekuwa nikijiuliza sana kuhusu umuhimu wa hii sherehe ya miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika, wakati hata hilo jina la hiyo nchi linaogopwa kutajwa. Tanzania ina mika 47 tu haijafikisha miaka 50. Sasa kwanza tuelezwe vizuri, kama Tanganyika ilishakufa tuafanya maombolezo au tunasherehaka. Hii sherehe inabidi ifutwe tu. USA leo wakishehekea uhuru wao, hawazungumzii uhuru wa states. La basi Tannyika ijulikane kama state na siku hiyo ya sherehe iwe imetoka msukuleni. Sijui lakini, yaani sielewi kabisa.

Sasa bendera gani itakayopandishwa wakati wa sherehe, Tanganyika?
Wimbo gani wa miaka 50 utapigwa na kuimbwa?
Raisi gani atakaekuwa mgeni wa heshima? Tanganyika haina raisi
Mafanikio gani yatazungumzwa, tanganyika?

Na wewe unaesema ati tunachokoza muungano, ufikie kikomo sasa, kwanini zanzibar ina state na Tanganyika haina
Nani aliyeafiki?
Sisi wengine tulikuwepo, lakini hatukushirikishwa
Msituchukulie poa

Shere hiyo ifutwe, La siku hiyo state ya Tanganyika itambuliwe, na bendera yake , na wimbo wake wa Taifa.
Tanganyika = Tanzania? Dont fool anybody.

images
Je siku hiyo mtatupa ruksa ya kupeperusha vibendera vya Tanganyika, kwa majonzi?

Miaka 50 ya wenye magamba yaliyoziba nyuso na macho yao!!!!!!!!
 
Tanganyika ilizaliwa 9th Dec, 1961. Baadaye ikaungana na Zanzibar kufanya muungano wa Tanzania. Serikali ya Tanganyika iliunganisha kwenye serikali ya muungano, kwa hiyo hapo tunasherekea Uhuru wa Tanganyika ambayo ni Tanzania vilevile. Tar 26.04.2014 tutasherekea Muungano wa Tanzania na wala siyo Uhuru wa Tanzania. Kwa kifupi Tanganyika ilipata jina la Tanzania, lakini umri unabaki palepale. Kuna Uhuru wa Tanzania na Muungano wa Tanzania.

Hapo kwenye red haieleweki pamekaaje. Unachanganyaje uhuru na muungano.
 
[video]Nyerere's Meeting With Tanzania Press Club 1995 Part 3 of 10.avi [/video]
 
Ndugu yangu Bw Sanga, viongozi wetu ni wanafiki ajabu sijapata kuona katika dunia hii. kwa upande wa tanganyika mtu wa kulaumiwa(laana tu llah)ni mchonga meno J.K, Nyerere.

Huyo alikuwa na lengo la kuimeza Znzibar kiujanja ujanja lakini wazanzibar walimshitukiya mapema. Sasa wakati umefika wa sisi vijana kuhuji uhalali wa Muungano huo usiokuwa na kichwa wala miguu.

Wachaguwe moja kati ya mambo mawili, aidha muungano wa serkali mbili, yaani kati ya serkali ya jamuhuri ya Tanganyika na serkali ya mapinduzi ya Zanzibar na hivyo kuunda shirikisho la jamuhuri ya muungano wa Tanzania yenye swerikali 3 au Jamuhuri ya muungano wa Tanzania yenye serkali moja tu.

KUSIWEPO SERKALI YA MAPINDUZI WALA YA TANGANYIKA, JAMBO AMBALO NINA HAKIKA 100% WAZANZIBAR HAWATALIKUBALI KAMWE.
 
Ndugu yangu Bw Sanga, viongozi wetu ni wanafiki ajabu sijapata kuona katika dunia hii. kwa upande wa tanganyika mtu wa kulaumiwa(laana tu llah)ni mchonga meno J.K, Nyerere. Huyo alikuwa na lengo la kuimeza Znzibar kiujanja ujanja lakini wazanzibar walimshitukiya mapema. Sasa wakati umefika wa sisi vijana kuhuji uhalali wa Muungano huo usiokuwa na kichwa wala miguu.

Wachaguwe moja kati ya mambo mawili, aidha muungano wa serkali mbili, yaani kati ya serkali ya jamuhuri ya Tanganyika na serkali ya mapinduzi ya Zanzibar na hivyo kuunda shirikisho la jamuhuri ya muungano wa Tanzania yenye swerikali 3 au Jamuhuri ya muungano wa Tanzania yenye serkali moja tu. KUSIWEPO SERKALI YA MAPINDUZI WALA YA TANGANYIKA, JAMBO AMBALO NINA HAKIKA 100% WAZANZIBAR HAWATALIKUBALI KAMWE.

Hapa inatakiwa Wazanzibar na Watanganyika kuamka na kukomaa. Tunataka URT kamili.
 
Ndugu yangu Bw Sanga, viongozi wetu ni wanafiki ajabu sijapata kuona katika dunia hii. kwa upande wa tanganyika mtu wa kulaumiwa laana tu lini mchonga meno J.K, Nyerere.

Huyo alikuwa na lengo la kuimeza Znzibar kiujanja ujanja lakini wazanzibar walimshitukiya mapema. Sasa wakati umefika wa sisi vijana kuhuji uhalali wa Muungano huo usiokuwa na kichwa wala miguu.

Wachaguwe moja kati ya mambo mawili, aidha muungano wa serkali mbili, yaani kati ya serkali ya jamuhuri ya Tanganyika na serkali ya mapinduzi ya Zanzibar na hivyo kuunda shirikisho la jamuhuri ya muungano wa Tanzania yenye swerikali 3 au Jamuhuri ya muungano wa Tanzania yenye serkali moja tu.

kUSIWEPO SERKALI YA MAPINDUZI WALA YA TANGANYIKA, JAMBO AMBALO NINA HAKIKA 100% WAZANZIBAR HAWATALIKUBALI KAMWE.

Ndio maana Lisu alisema watu wapewe nafasi ya kuamua wanataka muungano wa aina gani. Kama Wazanzibari hawatakubali kuwe na serikali moja, its high time nasi tudai Tanganyika yetu! Tuwe na shirikisho la jamhuri ya muungano yenye serikali 3!
 
Tatizo kubwa Tanganyika ni kwamba watu wamekataa kuhoji mambo.
Lisu ameweka mambo bayana.
 
Ha! Kweli nimezinduka toka usingizini. Ni kweli kabisa Tanzania haijafikisha miaka hamsini!!! Hii ikoje?
Nimekuwa nikijiuliza sana kuhusu umuhimu wa hii sherehe ya miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika, wakati hata hilo jina la hiyo nchi linaogopwa kutajwa. Tanzania ina mika 47 tu haijafikisha miaka 50. Sasa kwanza tuelezwe vizuri, kama Tanganyika ilishakufa tuafanya maombolezo au tunasherehaka. Hii sherehe inabidi ifutwe tu. USA leo wakishehekea uhuru wao, hawazungumzii uhuru wa states. La basi Tannyika ijulikane kama state na siku hiyo ya sherehe iwe imetoka msukuleni. Sijui lakini, yaani sielewi kabisa.

Sasa bendera gani itakayopandishwa wakati wa sherehe, Tanganyika?
Wimbo gani wa miaka 50 utapigwa na kuimbwa?
Raisi gani atakaekuwa mgeni wa heshima? Tanganyika haina raisi
Mafanikio gani yatazungumzwa, tanganyika?

Na wewe unaesema ati tunachokoza muungano, ufikie kikomo sasa, kwanini zanzibar ina state na Tanganyika haina
Nani aliyeafiki?
Sisi wengine tulikuwepo, lakini hatukushirikishwa
Msituchukulie poa

Shere hiyo ifutwe, La siku hiyo state ya Tanganyika itambuliwe, na bendera yake , na wimbo wake wa Taifa.
Tanganyika = Tanzania? Dont fool anybody.

images
Je siku hiyo mtatupa ruksa ya kupeperusha vibendera vya Tanganyika, kwa majonzi?
 
Tunasheherekea miaka hamsini ya Tanganyika ambayo iko ndani ya jamhuri ya Tanzania, Tanganyika haikuuliwa ila iliunganishwa na Zanzibar, na ndo maana bado jina la Tanganyika limekuwa represented kwenye neno Tanzania, ila mi naona major problem ni the fact kuwa Huo umoja wa muungano hauonekan, kwa sababu hamna serikali moja, hamna rais mmoja hamna anthem moja n.k, hivyo vingekuwepo nadhani ingeleta umaana zaidi.
 
Tanganyika ilizaliwa 9th Dec, 1961. Baadaye ikaungana na Zanzibar kufanya muungano wa Tanzania. Serikali ya Tanganyika iliunganisha kwenye serikali ya muungano, kwa hiyo hapo tunasherekea Uhuru wa Tanganyika ambayo ni Tanzania vilevile.

Tar 26.04.2014 tutasherekea Muungano wa Tanzania na wala siyo Uhuru wa Tanzania. Kwa kifupi Tanganyika ilipata jina la Tanzania, lakini umri unabaki palepale. Kuna Uhuru wa Tanzania na Muungano wa Tanzania.

Hii ni nguvu ya hoja ama hoja ya nguvu?
 
Tunasheherekea miaka hamsini ya Tanganyika ambayo iko ndani ya jamhuri ya Tanzania, Tanganyika haikuuliwa ila iliunganishwa na Zanzibar, na ndo maana bado jina la Tanganyika limekuwa represented kwenye neno Tanzania, ila mi naona major problem ni the fact kuwa Huo umoja wa muungano hauonekan, kwa sababu hamna serikali moja, hamna rais mmoja hamna anthem moja n.k, hivyo vingekuwepo nadhani ingeleta umaana zaidi.

Mbona Zanzibar bado ipo. Ushindwe.
 
Tunaadhimisha miaka 50 ya kifo cha mtoto Tanganyika!
<br />
<br />
Hakuna nchi inaitwa Tanganyika. Huu ni upuuzi wa kutupwa kuadhimisha miaka 50 ya nchi ambayo ilishakufa miaka 47 iliyopita.
Na ndio maan hata sala na maombi yetu hayasikilizwi na mwenyezi mungu. Nchii hii ina laana ya kuiwa nchi moja na kuacha nyingine. Ni hapo tu tutakapokiri na kuirudisha Tanganyika ndipo tutakapopata baraka za mungu na kijazia neema nchii hii.
Mungu ibariki ufufuo wa Tanganyika!!!!
Ahsante kaka sanga kwa kutukumbusha
 
Mbona Zanzibar bado ipo. Ushindwe.

kama umenisoma poa hapo mwisho nimesema muungano hauonekani kwa sababu hamna umoja wa serikali, n.k ila siyo kwamba Tanganyika haipo, ipo ndani ya jamhuri except meaning imepotea kwa ajili the other part wako more independent,
 
Back
Top Bottom