Dirty Four-letter words....!!!!

You are so interesting Afrodenzi, ulidhani hayo maneno matamu yatakuwa ni ya siku zote? waswahili wansema hata tamu hukinai, hivyo hata kama yangekuwa matamu kiasi gani lazima baadaye utayazoelea na kuona ni ya kawaida, labda ukahitaji zaidi ya hyao..
mmmhh
wakati nasoma nilidhani kuna maneno matamu
romance words kitu kama hicho.
duuuu halafu nakutana na na kufuta vumbi, kuosha/safisha, kupiga pasi na kupika...

mmmhh dear
ndo maana nikasema kweli umeniweza.
 
Wazungu au niseme watu wa nyanda za juu, wenye matawi yani pesa kibao....hizo 4 letter wanazikabili hivi,

Dust, wanatumia vacuum cleaner na air filters kwa ajili ya air inlet ya nyumba kutrap dust!
Wash, wanatumia mashine za kufulia na dish washers
Iron, wanatumia iron press ambayo inanyoosha mara moja kila upande ama pasi za maji.
Cook, wanatumia gas, coffee makers, bread makers na mi microwaves......n.k

Hivyo vinafanya kazi ziwe rahisi na kama ndio mwenzangu na mimi ni full kuni,kufuta vumbi na vitambaa vya maji, kufua na sabuni za vipande na pasi za mkaa....basi....mke atakomaaa!!!:)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom