Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,286
- 4,494
Kama ilivyotabiriwa na wengi, baada ya Dr Kitua Andrew kustaafu ukurungenzi mkuu wa National Institute of Medical Research, NIMR Dr Mboera alikuwa akikaimu nafasi hiyo, lakini naona board ya NIMR imempendekeza Dr Mwele Lazaro Malecela, PhD kuchukua nafasi hiyo, Raisi anatarajiwa atapitisha jina hilo. Hongera sana dada Mwele unastahili hicho cheo, nakumbuka ulivyokuwa makini ukiwa mkurugenzi wa mafunzo na utafiti, umevuta miradi mingi wizarani na wewe ni raisi wa tafiti za magonjwa ya matende barani Africa. Hongera mama...
Wale haters msiharibu hii thread fungueni yenu!
Mig
Wale haters msiharibu hii thread fungueni yenu!
Mig