Dina Marios na Clouds Tv

nsalu

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
1,109
1,109
Mimi ni mshabiki wa Dina Marios napenda sana utangazaji na ubunifu wake wa vipindi. Alipotoka martenity alituahidi kurudi kazini kupitia clouds Tv yaani atakuwa anaonekana kwenye runinga na si kwenye redio tena. Lakini umepita mwaka sasa hatukuoni runingani umekuwa kimya kbs. Mi kama shabiki wake nimeulizia kupitia blog yake na instagram account lakini sikujibiwa. Anayejua atarudi lini runingani anijuze jamani nimemiss sana utangazaji wake.
 
Majibu ya maswali yako ndio hayo hapo kutoka kwa Dina mwenyewe.ok byeee
 

Attachments

  • 1426566403315.jpg
    1426566403315.jpg
    33.7 KB · Views: 1,841
  • 1426566426541.jpg
    1426566426541.jpg
    58.1 KB · Views: 1,725
  • 1426566458077.jpg
    1426566458077.jpg
    59.8 KB · Views: 1,716
  • 1426566488237.jpg
    1426566488237.jpg
    56.5 KB · Views: 1,666
Ni kama mimi hata kama John Dilinga Matlou akae miaka ishirini bila kuwa kwenye game......akirudi lazima nitege sikio...... hivyo hata Dina kama alifanya vizuri (naamini alifanya vyema maana kumpokea na kumaintain kipindi baada tu ya mtangazaji kipenzi cha watu enzi hizo kama Amina Chifupa si rahisi ). Kama mbunifu bado atafanya vyema. Kila lakheri mdogo wangu Dina Marios.
 
Back
Top Bottom