Wanaokataa ndoa watajifunza kitu kupitia comments za watu hapa na si ajabu wakabadili maamuzi na tukaalikwa kwenye harusi zao😜😀Kwani hujui kuwa sasahivi mkakati ni kukataa ndoa?
Aisee mkuu hongereni sana na mfike mbali hadi muone vitukuu vyenu mkiwa pamojaTo answer your question yes I Will still marry her.
Sijawahi msaliti wala kutembea na wanawake wengine. Amekuwa mshahuri wangu mkubwa n hata tumepata maendeleo makubwa sana. 9 years together 😊
I am 32 years old now, she is 29 years old this month. Ushauri wangu vijana wajifunze kufurahi pamoja. Yani naweza enda hata posta nikatamani kula nyama choma ugali ila siwezi kula mwenyewe nitakula kwa shida sana. Nikirudi na msosi (take away) basi tukala mezani nitafarijika sana. .
Nashangaa sana hawa watu na kampeni ya kataa ndoa. Nawaza tu wanakumbwa na vitu gani. .
Mzee mwenzangu ndio kusema?Bila shaka,nitamuoa tena pasina kupepesa jicho.
Nice and thank you for sharingNitamchagua yeye tena.
Safi mkuuBila shaka,nitamuoa tena pasina kupepesa jicho.
YES I will doHappy Sunday to everyone!
For all who are in marriage, both men and women, despite of human imperfections, did you marry the right person? if we could turn back time, would you still choose the same person you are married to now? and why? kindly share your observations, we might learn something important from it.
Swahili Version:
kwa wanandoa, je umeoa/umeolewa na mtu sahihi? japokua binadamu tunamapungufu, je muda ukirudishwa nyuma ikawa kama ndiyo ile siku ya kufanya uamuzi wa kuoa,kuolewa tena je utamchagua mtu huyu huyu ulienaye sahivi?
Have a nice sunday's evening.
God is Good. Na iwe hivyo na niko nae namweleza hapa kuwa I will choose to marry her again. Analia kweli ajifungue salama next week 😊😊😊 she is so emotional. .Aisee mkuu hongereni sana na mfike mbali hadi muone vitukuu vyenu mkiwa pamoja
Mko pamoja how long?Nitamchagua yeye tena.
Mungu akamsimamie hatua zote, and much greetings to herGod is Good. Na iwe hivyo na niko nae namweleza hapa kuwa I will choose to marry her again. Analia kweli ajifungue salama next week 😊😊😊 she is so emotional. .
3years.Mko pamoja how long?
Kumbe fainensho unajua kizungu?Happy Sunday to everyone!
For all who are in marriage, both men and women, despite of human imperfections, did you marry the right person? if we could turn back time, would you still choose the same person you are married to now? and why? kindly share your observations, we might learn something important from it.
Swahili Version:
kwa wanandoa, je umeoa/umeolewa na mtu sahihi? japokua binadamu tunamapungufu, je muda ukirudishwa nyuma ikawa kama ndiyo ile siku ya kufanya uamuzi wa kuoa,kuolewa tena je utamchagua mtu huyu huyu ulienaye sahivi?
Have a nice sunday's evening.
Nikijulie wapi mkuu, karibu utupe maoni yako au ndiyo haujaoa? 😬Kumbe fainensho unajua kizungu?
Bado, wewe si ulinikataa kiainaNikijulie wapi mkuu, karibu utupe maoni yako au ndiyo haujaoa? 😬
Mmh usinisingizie we si upo kwenye ile campaign ya "kataa ndoa"Bado, wewe si ulinikataa kiaina
Kwamba sijakosea kuoa..Mzee mwenzangu ndio kusema?
Ooh ila umeona comments za watu wanavyoenjoy na ndoa zao? Soon utatengua kauli ya kukataa ndoaHivi BABY kumbe huwa una ona comments zangu za KATAA NDOA?
Mimi bhana sijawahi kuoa ila hata maisha ya mahusiano bado sitakubali.
Kataa ndoa.
Ni utapeli.