DIASPORA yupi aliyefanikiwa kiuchumi, kisiasa na kijamii awe mfano?

We unafikiri kuja uingereza unaenda kukata ticket kama unaenda kijijini kwenu? .....punguza chuki uoneshwe njia ya kufanikiwa kwenye maisha yako. ....we utaijenga tanzania wkt mpk leo unakaa kwa dadaako? ....we kweli nanga

Sisi tumezaliwa wote wa kiume na kila mmoja analijenga taifa, wewe watumikie hivyo vizee vyako wakati babu zako wanalala nyumba za tembe kwa WAGOGO wenzio dodoma
 
Umeisoma post ya Matola ya leo? Unatupa wosia tuihame tanzania tuje uingereza? Waingereza wameijenga hiyo nchi kwa jasho na damu,na sisi tanzania hatuhami,tutaijenga kwa nguvu zote kizazi hata kizazi

Go back to school boy, hapa unajidharirisha tu soma historia ya kizazi cha Wajamaica waliopo Uingereya walifikaje.

Nenda Cape town uone wale wazungu waliojazana pale usidhani ni makaburu watupu Waingereza ni kibao na wana passport mbili na mpaka kesho wakitiana mimba wanaenda kuzalia Uingereza.

Mijitu mmejaa wivu na chuki za kijinga na leo jumapili kazi kuwasumbuwa watu kuboom bia kwenye mabar. hakuna mbeba box anayebom bia hivyo ni vitu basic kabisa.
 
Last edited by a moderator:
We unafikiri kuja uingereza unaenda kukata ticket kama unaenda kijijini kwenu? .....punguza chuki uoneshwe njia ya kufanikiwa kwenye maisha yako. ....we utaijenga tanzania wkt mpk leo unakaa kwa dadaako? ....we kweli nanga

Unapoteza muda wako kubishana na Viza refusal victim.
 
Kuna watanzania wanaoishi nje ambao wamekuwa WAKIJIGAMBA kwamba wana HELA NYINGI za kuwekeza lakini taifa linawabania,naweza kufahamishwa diaspora ambae ame excel kwenye nyanja za kiuchumi,kisiasa,kielimu(labda anafundisha havard na tafiti zake ni kali) kwenye sanaa mbalimbali,uwekezaji,sayansi, n,k, na tungependa tujue hali halisi ya hawa jamaa kimaisha THE BIG SHOW, Nyani Ngabu

Nyugunyugu wa mama Matola

http://www.keele.ac.uk/scm/staff/academic/drthomasneligwa/
https://twitter.com/tomneligwa
 
Go back to school boy, hapa unajidharirisha tu soma historia ya kizazi cha Wajamaica waliopo Uingereya walifikaje.

Nenda Cape town uone wale wazungu waliojazana pale usidhani ni makaburu watupu Waingereza ni kibao na wana passport mbili na mpaka kesho wakitiana mimba wanaenda kuzalia Uingereza.

Mijitu mmejaa wivu na chuki za kijinga na leo jumapili kazi kuwasumbuwa watu kuboom bia kwenye mabar. hakuna mbeba box anayebom bia hivyo ni vitu basic kabisa.

Unaongelea historia ambayo haitajirudia, ni sawa useme biashara ya utumwa itarudi,unafikiri hao walifikaje huko? Kwa kuzamia meli kama wewe? Jamaica mpaka leo wanalaani kilichowafanya wakafika huko na hata maisha na tamaduni zao ziko kiukombozi,hata nyimbo, nyinyi mliovamia show ndio mnajifanya mna uchungu saaaana,mjamaica yupi anayekubali kuolewa na vikongwe,unajua wazungu south africa walifikaje? Kwa akili yako unaona na nyie mko on the same move, dreamer, hatuna haja ya viza na mkija mnalala kwenye hotel zetu bongo
 
Nadhani uraia wa nchi mbili utawanufaisha wageni kuliko hata watanzania. Na hili watu wanaliangalia kizalendo lakini kwa ndani Lina athari kubwa kwa nchi kwa vile tu dhaifu ktk kusimamia mambo yetu hivyo wengi watakaopata huo uraia ni wale wasiostahili.
Angalia Jumuia ya Africa mashariki , nchi kama Kenya , wakenya wenyewe wanabaguana kiasi kwamba Mkenya hawezi kufanya biashara wala Kilimo popote ktk nchi yake mwwnyewe zaidi ya pale lilipo Kabila lake. , lkn Tanzania
tumekubali uhuru wa kibiashara ambapo ni wakenya pekee watakaokua na fursa ya kuingia sehemu Yoyote ya Tanzania (isiyo na ubaguzi) na kufanya biashara watakavyo ! Je mtanzania aweza kufanya hivyo kule Kenya ?
Sasa tukiweka uraia wa nchi mbili ndiyo balaa kabisa wachina watajaa nchini hadi Wazawa ambao bado hatujachangamka tukose pa kupumulia...
 
Wewe una ustaarabu gani pimbi wewe.

Mimi mstaarabu sana mkuu, ila pimbi kwa sisi watanzania sio tusi, labda kwenu nyie na Mtimti ambao ni waingereza, kwetu sisi watanzania HALISI ukitaka kumtusi mtu muite tumbili
 
Last edited by a moderator:
nadhani uraia wa nchi mbili utawanufaisha wageni kuliko hata watanzania. Na hili watu wanaliangalia kizalendo lakini kwa ndani lina athari kubwa kwa nchi kwa vile tu dhaifu ktk kusimamia mambo yetu hivyo wengi watakaopata huo uraia ni wale wasiostahili.
Angalia jumuia ya africa mashariki , nchi kama kenya , wakenya wenyewe wanabaguana kiasi kwamba mkenya hawezi kufanya biashara wala kilimo popote ktk nchi yake mwwnyewe zaidi ya pale lilipo kabila lake. , lkn tanzania
tumekubali uhuru wa kibiashara ambapo ni wakenya pekee watakaokua na fursa ya kuingia sehemu yoyote ya tanzania (isiyo na ubaguzi) na kufanya biashara watakavyo ! Je mtanzania aweza kufanya hivyo kule kenya ?
Sasa tukiweka uraia wa nchi mbili ndiyo balaa kabisa wachina watajaa nchini hadi wazawa ambao bado hatujachangamka tukose pa kupumulia...

naunga mkono hoja
 
Watanzania wenye ukimwi wagoma kurudi tanzania,;wakuu naona diaspora mnazidi kuwa wengi,wazamiaji wengine hao ambao taifa liliwapeleka canada lakini wamekimbia kama nyie, cc@matola Mtimti
 
Last edited by a moderator:
Sisi tumezaliwa wote wa kiume na kila mmoja analijenga taifa, wewe watumikie hivyo vizee vyako wakati babu zako wanalala nyumba za tembe kwa WAGOGO wenzio dodoma

Nani aliyefanikiwa sasa?
attachment.php
 
Attachments

  • IMG-20140817-WA0000.jpg
    IMG-20140817-WA0000.jpg
    44.3 KB · Views: 278
Wapo wengi walio fanikiwa Sema hawajitangazi! Kuna siku nilikuwa natazama Mboni show,Mboni alikwenda wingereza alipata wasaha wa kuzungumza na Mtanzania mmoja ni lecturer chuo kikubwa huko jina limenitoka jamaa ni mtaalam wa nishati ya jua kwakweli alikuwa anaonesha amefanikiwa sana na anategemewa sana na kile chuo pamoja na serikali kuziwezesha taasisi za Umma name binafsi kutumia Nishati ya Jua na alionekana no mtaalamu na anategemewa sana.

Kwangu Mimi hayo yalikuwa ni mafanikio tosha.
 
Watanzania wenye ukimwi wagoma kurudi tanzania,;wakuu naona diaspora mnazidi kuwa wengi,wazamiaji wengine hao ambao taifa liliwapeleka canada lakini wamekimbia kama nyie, cc@matola Mtimti

Wewe tutusa mkutano wa ukimwi umefanyika Australia na walichokifanya ni kujinusuru kuongeza siku za kuishi, kule chakula ni kitu cha uhakika kwa wote wakati mimi na wewe ambao tupo bongo bado tunaangaika kila siku kutafuta pesa ya kula na kulisha vitegemezi vyetu kama wapo wanaokutegemea.

Hapa nimekaa bar kila dakika napigwa mizinga niwaagizie watu bia, lakini siamini waliopo mamtoni kama kuna wapiga mizinga ya kuboombom bia.
 
Asante kwa taarifa, ila angalia bar hizo unazopigwa mizinga, ukienda toilet washkaji wanapiga fundo moja la bia teh! teh! Jaribu kusogea bar za maeneo ambayo at least unaweza toka na bizcard au bizness idea
 
Yaani unachotaka nikuelewe ni nini? Niache maisha yenye uhakika kisha nije kwenye maisha ya kubahatisha? ....mi alhamdulilah namshukuru Mungu mpk hapa nilipo. ....maana ukitaka kujua ulaya patamu muulize mheshimiwa jakaya. .....membe si waziri? Mbona hajawachukua watoto wake kutoka Canada?.....wasira si waziri? Mbona hajamtudisha mwanae toka marekani. .......kamwambie mbunge wa kalenga achane pasport ya uingereza. ............tatizo lenu mna ropoka ropoka wakati viongozi wenu wamehifadhi pasport za nje kwenye mabegi yao. .....hiki sio kipindi cha nyerere na ujamaa kijana. .....we imba tu tanzania nakupenda sana wkt shs Mia huna, kazi ndio sahau.....kama baba hajajenga mjini basi we kwa shemeji kutakuhusu tu

Point nzito sana hizi,kwa mtu anaejua umuhimu wa kuwa na passport ya US au EU countries anawezakukuelewa.
 
Back
Top Bottom