Hapo ngoma suluhu tusubiri matuta tu!
Ally Kiba ana zaidi ya Diamond kama atailea vizuri talent yake would become so huge...halafu hajajiingiza katika biashara ya kuuza magazeti kwa scandals
Nawapenda wote diamond i wish angetulia kama ally kiba! kuchekacheka kumezidi! but napenda sana nyimbo zake kwa kweli kura yangu wagawane nusunusu!
Hawafai hawa wanyama!!!halafu hawana vitambi yaani hapo ndo wanapowameza wanyama wengine!!!!much respect kwa kiba na jembe langu la ukweli platinumz!!
Alikiba kamzidi kila kitu 'baba wema' kuanzia kuwepo kwenye gemu.Ubora wa kazi,ally hana scandle za kihuni,ally kashafanya kazi na wasanii kama rkelly na wa bongo flava wengi tu,na wakati diamond kafanya kolabo na wasanii hawazidi 15,teh teh teh alikiba amerun diamond wewe
Mkuu ni kweli kabisa Alikiba ni wa ukweli sana na hana maujinga kama ya Dimond ie kila siku kwenye front page za mageziti ya Shigongo. Ila mara zote alizoshiriki Kili Music Awards Alikiba hajawahi pewa tuzo, kiaina nahisi huwa wanambania tu.Ally Kiba ana zaidi ya Diamond kama atailea vizuri talent yake would become so huge...halafu hajajiingiza katika biashara ya kuuza magazeti kwa scandals
Me Nampa mia Diamond, The fact behind being anajituma sana jamaa..hata shoo zake jukwaan zinadhihirisha hilo, Ukiachana na kuimba anajitahidi pia kuwa na uwezo wa kuimba na kucheza at the same time (kitu ambacho kinawashinda wasanii wengi wa bongo), Anajiamini na akiendelea hivyo atafika mbali...Zaidi ya yote ana heshima hasa kwa wakubwa wake wa kazi waliomsaidia kufika hapo alipo...Keep it up diamond, Na hivi juzi ameshinda mtihani wa kupambana na jini mahaba (Wema Abraham Sepetu), Kama hakijamuachia virusi...basi namtakia maisha marefu diamo
What about discipline?
What about respect to funs etc?