Diamond amshike huyu sister mkono anaweza kutoboa kimataifa

kwisha

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
1,666
4,365
Kama ningepata nafasi ya kuongeya na Diamond ningemshauri amshike mkono huyu sister Rosa Ree.

Mimi sio shabiki saana wa huyu dada na wala sio shabiki saana wa nyimbo zake.

Lakini Mara nyingi ninapo kuwa na Anglia reaction songs From Tanzania.

Na kutakana saana na video nyingi za huyu sister kufanyiwa reaction saana Na watu wa mataifa mbali mbali
Ila ukicheki video zake hanaga viewers wengi.

Huyu akipata sapoti kama ambayo wanapata Akina zuchu na wengine anaweza kutoboa zaidi kimataifa
Vannesa Dee naye alikuwa na son fulani za kimataifa hivi
 
Anaimba nyimbo za kigumj sana anatakiwa abadilike
 
Mwambieni kwanza aache kumuiga Minaj, wenzie wanakuja na style zao yeye anamuiga minaj wa 2010 huko.
 
Sijawahi kumwelewa huwa naona tu ana nyota ya kupendwa tu. Rosa Ree afananishwe na minaj? Bongo noma!
 
Back
Top Bottom