Diamond ampa kipigo Wema Sepetu amharibu uso kisa sms ya mapenzi

najihisi kumwonea huruma huyu binti,ila nae hasikii jamani!!naona mapenzi siku hizi kama siasa
 
mapenzi ya ubondia mwishowe kutoana mangeu. Diamond anatafuta sababu ya kumwacha Wema

Mwanamume anaepigana na mwanamke ni mwanaume suruali tu!, kama humtaki achana nae, hamna sababu ya kumpiga. Nadhani wema anatakiwa amfunge huyu dogo ili akajifunze heshima.
 
hahahahaahaahahah haki ya mama...badala ya kuona huruma nimecheka kha!!!
 
...Kwa sababu kupigwa na kutolewa magazetini namna hii ni udhalilishaji wa aina yake

Hata angemfungia ndani akamtwanga kimya kimya bado ni udhalilishaji.
Na si udhalilishwaji tu, domestic violence ni abomination, ni jinai, ni ugaidi, ni human rights violation, ni udhalimu. Sio "udhalilishaji wa aina yake." Hivi mtajikomboa lini Gaijin?

Matokeo ya kusubiri Mwanamme "awawezeshe," Mwanamme mwenyewe wa Tanzania bado anafafana na Zinjanthropus wa Kondoa Irangi, wako humu wanasema kutwanga mwanamke ni "mambo binafsi" yanayohusu "wapendanao." Hawa hawawezi kuwawezesheni.
 
[h=1]Forum: Celebrities Forum[/h] Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa: Rais, Mawaziri, Wabunge, Wafanyabiashara wakubwa n.k (Public Figures in general) The right place for celebrity enthusiast!

Nachukia sana umbea,hivi hakuna mambo ya maana ya kuwaambia watu mpaka yawe mambo binafsi ya watu?Ni wangapi tunapigana na wenzi wetu na hatutangazi?
Mkuu usikompliketi maisha, ndio maana kuna majukwaa lukuki na unachagua unalopenda. kama hupendi umbea kuna majukwaa kama hoja nzito na jamii intelijensia, huko hakuna ubabaishaji,

 
Aiseeee.....yani ndani ya mwezi wameshachumbiana..wameshatishia kuachana....kumeshakua na malumbano na mama mke mtarajiwa....wamashapatana na kurudiana...wameshaanza kukamatana na sms za mapenzi na kutwangana?????

Nwy pole yake Wema...hopefully hatoruhusu hiyo hali itokee tena.Atajaumizwa vibaya!
 
mapenzi ya ubondia mwishowe kutoana mangeu. Diamond anatafuta sababu ya kumwacha Wema
Elimu ndogo, ushamba na mapepe ndivyo vinavyochangia. Wanauza story magazetini ili mkono uende kinywani
 
Kesho utasikia story ingine Wema amechukua RB
Diamond made a grave mistake... Wema is always full of drama, and the boy is in it now!!!

Hata akijamba vitakwenda kwenye magazeti........... but the guy need to break up hawana future hao kama wameanza masumbwi mapema namna hii
 
Elimu ndogo, ushamba na mapepe ndivyo vinavyochangia. Wanauza story magazetini ili mkono uende kinywani
hiyo itakula kwa diamond, coz watu hawatumheshimu tena kwenye jukwaa
 
Back
Top Bottom