Diamond amlipua Wema

warumi

R I P
May 6, 2013
16,273
18,382
BAADA-ya muigizaji nyota Wema Sepetu kumtusi mpenziwe wa zamani, Nasibu Abdul Diamond Platnumz, kwa kudhihaki zawadi ya bei chee ya gari aliyowahi kumnunulia, rais huyo wa lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), juzikati aliibuka na kumjibu kuwa amefanya mambo ya Kiswahili.

Akizungumza ofisini kwake Sinza Mori jijini Dar es Salaam, Diamond alisema katika maisha kila mmoja ana ndoto zake, hivyo ni jambo jema kwamba amefanikisha, lakini hata hivyo, akasema hatua aliyofikia yeye siyo ya kufanya mashindano na mtu, badala yake ni kuchapa kazi kusaka mafanikio zaidi ya maisha yake.

Kiukweli kabisa nampongeza Wema kwa kununua gari maana hiyo ndiyo ilikuwa mipango ya maisha yake, maneno anayosema kwamba mimi nilimnunulia gari la elfu thelathini ndipo nilipomuona wa ajabu. Sikuona umuhimu wa kunizungumzia pale.

Hayo ndiyo mambo ya Kiswahili. Mimi siyo mtu wa kushindana kununua gari tena, maana hatua hiyo tayari nimeshapita, zaidi nawaza kupiga kazi na kujitengenezea maisha yangu mapya yatakayoweza kuifanya familia yangu iishi kwa raha na amani kipindi chote cha uhai wangu, najua kuna watu bado wanafikiria mimi ni limbukeni wa vitu kama zamani, kwa sasa sifikirii mashindano, ninaangalia kazi zinazoweza kuniingizia kipato tu, alisema Diamond.

Katika pati aliyoiandaa hivi karibuni kusherehekea siku yake ya kuzaliwa, Wema pamoja na mambo mengine, aliwaonyesha waalikwa zawadi ya gari aina ya Range Rover aliyojinunulia, akitoa maneno yaliyoonesha kumponda Diamond, kwamba ameinunua kwa kiasi cha dola za Marekani 90,000 (karibu shilingi milioni 200 za Kitanzania), tofauti na watu wanaojikweza kwa vigari vyao vya elfu thelathini.
 
Wema alizani ataombwa mwaliko au maana hakomi kumuongelea Chibu.

Shabaranks naona hamfai ni kutafuta kiki kuwa ana mtu na labda ni mkataba.
 
Moyo wa wema bado upo kwa dangote basi walimwengu wanaingilia katiiii wallah tena Kama wakikutana gizani hakuna watu wanawezaa kufanyaaaaaaaa
 
Ha ha haaaa kwani wema kamtaja diamond...platnumz atakuwa mwanaume mjinga kujibu shutma za kike kama hizoo.
 
BAADA-ya muigizaji nyota Wema Sepetu kumtusi mpenziwe wa zamani, Nasibu Abdul Diamond Platnumz, kwa kudhihaki zawadi ya bei chee ya gari aliyowahi kumnunulia, rais huyo wa lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), juzikati aliibuka na kumjibu kuwa amefanya mambo ya Kiswahili.

Akizungumza ofisini kwake Sinza Mori jijini Dar es Salaam, Diamond alisema katika maisha kila mmoja ana ndoto zake, hivyo ni jambo jema kwamba amefanikisha, lakini hata hivyo, akasema hatua aliyofikia yeye siyo ya kufanya mashindano na mtu, badala yake ni kuchapa kazi kusaka mafanikio zaidi ya maisha yake.

Kiukweli kabisa nampongeza Wema kwa kununua gari maana hiyo ndiyo ilikuwa mipango ya maisha yake, maneno anayosema kwamba mimi nilimnunulia gari la elfu thelathini ndipo nilipomuona wa ajabu. Sikuona umuhimu wa kunizungumzia pale.

Hayo ndiyo mambo ya Kiswahili. Mimi siyo mtu wa kushindana kununua gari tena, maana hatua hiyo tayari nimeshapita, zaidi nawaza kupiga kazi na kujitengenezea maisha yangu mapya yatakayoweza kuifanya familia yangu iishi kwa raha na amani kipindi chote cha uhai wangu, najua kuna watu bado wanafikiria mimi ni limbukeni wa vitu kama zamani, kwa sasa sifikirii mashindano, ninaangalia kazi zinazoweza kuniingizia kipato tu, alisema Diamond.

Katika pati aliyoiandaa hivi karibuni kusherehekea siku yake ya kuzaliwa, Wema pamoja na mambo mengine, aliwaonyesha waalikwa zawadi ya gari aina ya Range Rover aliyojinunulia, akitoa maneno yaliyoonesha kumponda Diamond, kwamba ameinunua kwa kiasi cha dola za Marekani 90,000 (karibu shilingi milioni 200 za Kitanzania), tofauti na watu wanaojikweza kwa vigari vyao vya elfu thelathini.
DIAMOND kawa mtu anayeongea kwa busara sana tofauti na watu wengi wasiompenda wanavyomchomekea maneno, hongera sana kwa kukuwa kiakili na busara achana nao wanaoshindana na wewe WAKATI WEWE ULISHAPITA KWENYE LEVO ZA KUSHINDANIA KUMILIKI MAGARI.
 
wachochezi katika ubora wao sintoshangaa kuwa wema hakusema hayo maneno na daimind hajawahi ongea hivyo maana watu wanapenda sana mastar wagombane ili wapate chakumalizia mb zao
 
Wema alizani ataombwa mwaliko au maana hakomi kumuongelea Chibu.

Shabaranks naona hamfai ni kutafuta kiki kuwa ana mtu na labda ni mkataba.

Mama ubaya bado anataman kukojolewa na diamond, tatizo hazai sasa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom