Dhana ya Katerero

Didododi

JF-Expert Member
Jul 21, 2023
321
426
Wajumbe hamjambo? poleni na michakato ya kuzisaka.
==================================
Ninadhani mmeshawahi kusikia hii dhana ya katerero.Kiukweli nimekuwa nikiifatilia sana kwani kwa mujibu wa watu kutoka lilipo eneo hili wanasema ni eneo ambalo kuna soko kubwa lenye mchango mkubwa kwa taifa
================================
Kama kuna mwenye maneno ya kujazia kuhusu hapo Katerero heb tupia tuone twaweza ukuza utalii hapa
 
IMG_3404.jpg
 
Niko pande za west lake kwa muda kidogo kama miaka 10 hivi.

Katelelo

Kwanza katelelo ni neno la kihaya lenye maana ya neno "kapigio" eneo hili ambalo ni katelelo ya leo liikuwa ni eneo lililowahi kufanyikia kwa mapigano ya tawala mbili za kizamani zaidi ya mara moja. Yaani hilo eneo ndo lililobahatika kufanyikia vita zaidi ya mara tano huko miaka ya ujima na kusababisha paitwe hilo jina la uwanja wa kupigia ama kupigania hapo zamani zamani zamani za kale. Nimechoka kuandika tutaendelea kesho kujua ni tawala gani zilikuwa zikitundana hapo mbugani na kusababisha paitwe jina la uwanja wa vita mpaka leo
 
Shukrani kwa maarifa,vp hamna soko eneo hilo nakumbuka kulikuwa na kitabu chenye hadithi ya" siku ya gulio Katerero"
 
Back
Top Bottom