Dhana Potofu ya kuongeza Maumbile

101 East

JF-Expert Member
Feb 25, 2015
1,040
2,121
SOMA KWA UMAKINI

Kuna kitu kinaitwa cellular adaptation.
Ukijua hii huwezi kununua dawa za kuongeza uume au matako.

Iko hivi cells za mwili wa binadamu ukiziweka kwenye stress iwe ya muda mrefu au mfupi zinafanya adaptation.

Na hizi adaptation ziko kama ifuatavyo:-

1. Hypertrophy
Hapa cells zikiwekewa stress zina ongezeka ukubwa na stress ikitoka zinapungua.
Mfano mzuri ni wanaofanya mazoezi ya kubeba vyuma hujaa kwenye skeletal muscle cells hapa muscle cells zinakuwa zimeongezeka ukubwa kukidhi mahitaji, ukiacha kubeba vyuma zinapungua ukubwa.

2. Atrophy
Hapa cells zinakuwa ndogo kutokana na kutokuwepo kwa stress. Use and dis use theory.

Hii utaiona vizuri kwenye wagonjwa waliopata kiarusi miguu au mikono ina konda sana kwasababu haitumiki.

3.Hyperplasia
Hapa cells zinaongezeka idadi ili kukabiliana na stress.
Mfano: nyumba ya uzazi ya mwanamke (uterus ) inaongezeka ukubwa kwa style hii wakati wa mimba na akijifungua inarudi kawaida.

Ishu nyingine muscle cells za kwenye uume au matako ni permanent hazizalishwi nyingine ,kwahiyo ukipewa dawa ukadhani uume au matako yanakuwa unajidanganya.

Labda unazipa stress na zinafanya adaptation nilizotaja hapo juu. Badae ukiacha zitarudi hali yake ya awali.

Chukua io itakusaidia mjini apa.

Imeandikwa na
@Dr.ruchwele

Sent from my 21061119AG using JamiiForums mobile app
 
Tusimkosoe mungu
 
Back
Top Bottom