Detroit welcomes Ambassador Amina Salum Ali

Swahili: AU's official language
Matome Sebelebele

8 July 2004

The African Union (AU), meeting in the Ethiopian capital of Addis Ababa this week, has adopted Swahili as its official language.

The AU's decision follows calls by African scholars and writers to promote the use of African languages in official documents and literature.

Internationally renowned writers such as Kenya's Ngugi wa Thiongo, who writes in Swahili, and South Africa's E'skia Mphahlele, have consistently argued that use of Swahili would enhance African Unity.

Delegates to the AU summit, including South African President Thabo Mbeki and Foreign Minister Nkosazana Dlamini-Zuma, welcomed the announcement of the decision with prolonged applause.

About 50 million people in East and Central Africa, particularly in Tanzania, Zanzibar and Kenya, speak Swahili. In addition, many people in Uganda, Somalia, Mozambique, Malawi, Rwanda, Burundi, Zambia and the Democratic Republic of Congo speak Swahili as a first or second language.

Although Swahili takes its roots from African Bantu languages, it is heavily influenced by Arabic - Swahili means "coast" in Arabic - because of the long-standing trade relationships in the region. The language also incorporates many contemporary words adapted from English.

Mozambican president Joaquim Chissano, the outgoing AU chairperson, addressed the summit in Swahili, urging delegates and their countries to learn the language, saying that Swahili was unique, containing "wisdom, culture and dignity" that could not be translated or found elsewhere.

The AU's forerunner, the Organisation of African Unity, used English, French and Arabic as its main languages.
 
hahahaha wabongo ni wabongo tu... ndivyo walivyo!

Mzee ushachukua gamba la kibuluu lenye desert eagle nini?

Naona umejiondoa kwenye hao wabongo.

Us-passport.jpg
 
Hapa balozi Amina Ali anapigwa dongo na mwandishi wa The Washington Diplomat kuhusu ki historia feki cha uongo alichojaribu kumweleza kuhusu OAU ilivyoanzishwa mwaka 1963.

Asked what the difference is between the AU and the old OAU Salum Ali launched into a history lesson. “Ethiopia was the only country in Africa which was never colonized, so because of that, in 1963, Emperor Haile Selassie established the OAU in Addis,” she explained.

Source: washdiplomat.com/August%202007/a4_08_07.html
 
Hapa balozi Amina Ali anapigwa dongo na mwandishi wa The Washington Diplomat kuhusu ki historia feki cha uongo alichojaribu kumweleza kuhusu OAU ilivyoanzishwa mwaka 1963.

Asked what the difference is between the AU and the old OAU Salum Ali launched into a history lesson. "Ethiopia was the only country in Africa which was never colonized, so because of that, in 1963, Emperor Haile Selassie established the OAU in Addis," she explained.

Source: washdiplomat.com/August%202007/a4_08_07.html

Yaani Selassie ndiye aliyeanzisha OAU, yaani huyu ndiye balozi ambaye hata historia inampiga chenga!

Yaani balozi wa AU yupo on record amesema kwamba OAU ilianzishwa na Haile Selassie!

Huyu hapa Makonnen anaongelea creation of OAU

The Creation of the OAU

By Makonnen Ketema

In May 1963, thirty-two independent African States, who had genuine hopes and visions for the continent of Africa, came together in Addis Ababa, Ethiopia, to create the Organization of African Unity (OAU). I had the privilege of hearing a detailed account of the staging of the 1963 Addis Ababa Summit Conference, and the reason as to why the Ethiopian capital became the site of the OAU headquarters, from a man who was once described by the international media as being closer than any other to the staging of the creation of the OAU. The man was none other than my father, the late Ketema Yifru, who was the Ethiopian Foreign Minister (1961-1971) at the time. Ketema Yifru was also recognized by the media as having played a prominent role in the creation of Africa's regional organization.

Based on the discussions I had with my father as well as his taped and written interviews, I now clearly understand what he meant when he said, "Only a few are aware of the hard work and all the effort that brought about the creation of the OAU." Most of the public is not aware of the shuttle diplomacy, the closed door negotiations, and all the tireless effort, in general, that paved the way to creating the OAU. In addition, the majority of the public is not aware of the fierce diplomatic battle that was fought by a number of states to have the OAU headquartered in their respective capital cities.

Hawa hapa founding fathers wa OAU ambao balozi Amina hajawafanyia heshima na kihaki anatakiwa aviombe msamaha vizazi vyao

http://www.oau-creation.com/The%20Biographies%20of%20the%20Founding%20Fathers.htm
Haya, semeni na hiyo ni lugha sasa.

Halafu uliona anavyotoa majibu ya juu juu, na mwandishi hakumkopesha.

As the African Union's new envoy in Washington, Amina Salum Ali speaks for more than 50 countries-53, to be exact. It would have been 54, had Morocco not formally withdrawn from the AU's predecessor, the Organization of African Unity (OAU), in 1984 to protest the inclusion of the Saharawi Arab Democratic Republic-which Morocco claims as its own.

"They decided to pull out because we want Saharawi to attain self-determination," Salum Ali explained without further elaboration

Nakwambia habebeki, habebeki!
 
Last edited:
Yaani Selassie ndiye aliyeanzisha OAU, yaani huyu ndiye balozi ambaye hata historia inampiga chenga!
Wewe mwenyewe unaielewa hiyo historia ya OAU?. Hebu tuwekee hapa. Wacha ufedhuli Bwana, na majigambo ya vijiweni. Hata ukielewa hiyo historia ikusaidie nini wakati tunaongelea AU katika karne hii ya 21.
 
Historia hiyo hapo juu halafu unaomba historia, nina mashaka na uwezo wako wa kusoma au umadhubuti na utovu wa jitihada wako.

Inaelekea hujafuatilia mjadala, naomba usome upya, mimi sikuleta historia, huyo "balozi" bomu ndiye kaleta historia katika kukwepa jibu, turns out hata historia yenyewe haijui. Aibu kila sehemu, mwanzo mlisema namsakama lugha si haki kwa vile yeye si muingereza, turns out hata historia ya AU na mzami wake OAU haijui.
 
Yaani Selassie ndiye aliyeanzisha OAU, yaani huyu ndiye balozi ambaye hata historia inampiga chenga!

Right, I am not making that up, Mama balozi anadai Selassie alianzisha OAU ...haahaha.. gotta be something she wanted to communicate, labda sijui alitaka kusema Ethiopia wali volunteer ku host OAU, something.

I mean, Selasie hakuwepo hata katika yale makundi ya waliobishana kuhusu contemplated form and function ya umoja mpya wa Africa, kundi la Senghor wa Senegal, vision ya Nyerere, na kundi la Nkurumah. Sasa huyu Mama atasemaje Emperor Sellasie ndie alianzisha OAU? Unless unambie Mama ni jah people, after all the Lion of Judea, Emperor Sellasie, is the supreme creator, the ever living Rastafarian godhead. Jah Amina ni kituko.
 
Una laana wewe, eti Jah Amina!
 
ponda pondeni, you do that better!

It's not like tunamponda mtu ambaye hapondeki, mwenyewe anaalika ridicule kwa kujiexpose na kutofanya homework yake. Huyu mama ni aibu kuwa balozi wa Afrika.

BTW, we still dare talk openly despite the kissing up in the wake of the Detroit function.Kama mtu ni mediocre ni mediocre tu, Detroit function or not.
 
Hivi chini ya mediocre ni nini?
 
Sasa unaongea nini . unaona unajikanyaga wewe mwenyewe. Omba upate bahati ya kusoma na wanafuzi kutoka China. Unaelewa jinsi gani lugha hizo unazozitukuza wewe kuwa si muhimu. Muhimu ni maarifa siyo lugha, Balozi huyo dada angekuwa ameulizwa kwa Kiswahili na akajilkanyaga kujibu sawa ungemponda, lakini? Kama unaukubali mfani kama huo wa akina Castro kwa nini huyo Mhoji huko asitumie kiswahili kumhoji Amina.

- Pakacha safi sana, huyu mama amewahi kuwa waziri katika serikali ya mapinduzi, na balozi wa jamhuri je akiwa waziri na balozi alikosea nini wekeni facts, je na huko UN amekosea nini? Eti mnashangaa lugha yake mbovu ya English lugha za watu? Mbona rais wa China haongei English tena inaweza kwua mbovu kuliko huyu balozi wetu, sasa what is wrong with China as a nation?

- Mkuu Bluray, wewe ninakumini kwa hoja nzito, sasa kweli unaweza kumponda kiongozi eti wka sababu hajui lugha ya watu wasiotuhusu na utawala wetu Tanzania? Tumabie amefanya makosa gani huko AU, UN, na akiwa waziri wa serikali yetu, kama ni lugha mkuu hujui tuna viongozi wangapi huwa wanachekesha huko majuu na English, kuanzia CCM mpaka Upinzani huwa ni aibu sana basi tunatunza siri.

- Kutokuongea English nzuri sio kipimo cha uwezo wa uongozi hata siku moja, originally Marcus Garvey, Malcom-X, walikuwa hawajui kuongea wala kuandika English saafi, je what is wrong with them na uongozi wao? Hapa JF ninataka kuamini ni uwanja wa Great Thinkers jamani au?

- Maana hata Pope Benedict sidhani kama anajua English, swali ni vipi uongozi wake?

Respect.

FMES!
 
- Pakacha safi sana, huyu mama amewahi kuwa waziri katika serikali ya mapinduzi, na balozi wa jamhuri je akiwa waziri na balozi alikosea nini wekeni facts, je na huko UN amekosea nini? Eti mnashangaa lugha yake mbovu ya English lugha za watu? Mbona rais wa China haongei English tena inaweza kwua mbovu kuliko huyu balozi wetu, sasa what is wrong with China as a nation?

Mmoja wa wanaotetea mediocrity, labda kwa sababu na wewe hujaweza ku appreciate gharama ya mediocrity hii, pengine kwa sababu umezama katika dimbwi la mediocrity hii na kwa hiyo huwezi kuona the difference.

Yaani mtu kukosa kukosea ni kuweza kuongoza, the definition of mediocrity, or as Nyani Ngabu would ponder on what is below mediocrity, idiocracy!

Nimeeleza kuhusu China kutotumia kiingereza kama lugha rasmi na hivyo kuelewa kwangu mtu yeyote anayetoka China asiyejua kiingereza, si Tanzania.Go over that again above first before jumping to post.

- Mkuu Bluray, wewe ninakumini kwa hoja nzito, sasa kweli unaweza kumponda kiongozi eti wka sababu hajui lugha ya watu wasiotuhusu na utawala wetu Tanzania? Tumabie amefanya makosa gani huko AU, UN, na akiwa waziri wa serikali yetu, kama ni lugha mkuu hujui tuna viongozi wangapi huwa wanachekesha huko majuu na English.

Nimeongea vizuri sana hapo juu kwamba hili ni zaidi ya lugha, nikaonyesha poor decision making process ya mtu, kwamba anajua kwamba hajui kiingereza lakini anang'ang'ania kuongea kiingereza hata kama alikuwa na escape route ya kusema kwamba ana promote kiswahili, mbona mikina Castro inajua kiingereza eloquently lakini kwenye mi interview always inaongea kihispania na watu wanakalimani? This is more than language, this is poor decision making and low self confidence in Africa and its languages, if not low IQ.

- Kutokuongea English nzuri sio kipimo cha uwezo wa uongozi hata siku moja, originally Marcus Garvey, Malcom-X, walikuwa hawajui kuongea wala kuandika English saafi, je what is wrong with them na uongozi wao? Hapa JF ninataka kuamini ni uwanja wa Great Thinkers jamani au?

Originally kila mtu alikuwa hajui lugha yoyote, whats your point? hivi kweli unaweza kuwaweka hao eloquent speakers and world acclaimed thinkers kwenye sentensi moja na huyu joker Amina Salum Ali ambaye hata kwao Tanzania/Zanzibar anajulikana amebebwa tu kwa "uswahiba" na Mwinyi?

- Maana hata Pope Benedict sidhani kama anajua English, swali ni vipi uongozi wake?

Hudhani? hudhani? Unakuja na vitu vya kudhani dhani hapa? Nikikwambia mimi sidhani kama wewe ni mtu bali kuna bot tu linatype upande wako utajisikiaje? Usilete mambo ya kudhani dhani, no research no right to speak, do some reasearch first, Google is your friend (GIYF).

Toa source hapa, we are not talking about accents either.Na hata kama hajui kiingereza yule katoka Ujerumani, kiingereza si lugha rasmi ya Ujerumani.Kiingereza ni luha rasmi ya Tanzania, either ongea Kiingereza au Kiswahili, ukiwa hujui zote wewe ni bogus, ukijua Kiswahili halafu utake kujionyesha unajua Kiingereza kama balozi Ali wewe ni bogus.

Mbona hujasema kuhusu alivyoibutcher historia ya OAU hapo juu? Au nayo ni lugha hiyo?
 
Historia ya OAU si tunafundishwa shule ya msingi jamani....?

Halafu kuna mtu mwenye resume ya huyu mama? Nataka kuona kasoma wapi maana it makes me wonder how she got through, especially at the higher learning level. I just don't feel like looking for it....
 
... hivi kweli unaweza kuwaweka hao eloquent speakers and world acclaimed thinkers kwenye sentensi moja na huyu joker Amina Salum Ali ambaye hata kwao Tanzania/Zanzibar anajulikana amebebwa tu kwa "uswahiba" na Mwinyi?
Blueray, cheki mamaako alivyojitutumua ku analyze mpasuko wa Morocco na kujitoa OAU. Akasema kitu kinapingana na platform ya AU ya mshikamano na umoja wa nchi zao, mwandishi akampiga dongo kwamba ilibidi balozi a-elaborate zaidi halafu akamkejeli na ki sarcasm kinachoashiria ni mnafiki anapokuwa anasisitiza maelewano, umoja, mshikamano huku anashadadia kumomonyoka kwa Morocco.

As the African Union's new envoy in Washington, Amina Salum Ali speaks for more than 50 countries-53, to be exact. It would have been 54, had Morocco not formally withdrawn from the AU's predecessor, the Organization of African Unity (OAU), in 1984 to protest the inclusion of the Saharawi Arab Democratic Republic-which Morocco claims as its own. "They decided to pull out because we want Saharawi to attain self-determination," Salum Ali explained without further elaboration.

The AU's permanent representative here, who carries the title of ambassador, clearly prefers to stress unity over discord, cooperation over controversy. After all, the AU's self-stated mission is "to build an integrated Africa,..."
Kasema "we want," wakati hili sakata la Saharawi na Morocco ni la karne iliyopita. Sijui alitaka kumaanisha anaongelea kihistoria au ni msimamo wa Africa mpaka leo, au kakosea lugha tu, haijulikani.

Msingi wa Amina kufika hapo alipo ni pande alilopigiwa na Al Haaj Mwinyi, yeye kati ya ile sisterhood ya awesome three, Fatuma, Amina, Zakhia. You see, Khadija na Sitti hawakuwa politically inclined.

Huyu mama atakuwa mtupu tu kwa muonekano wake na kusoma baadhi ya interview zake za nyuma....anajibu kikiwkete kikwete au kimakamba makamba......
.....la kiingereza hell nooo mbona mie sijui kingereza lakini anaylist mzuri sana JF....
 
Oh utupu haujalishi lugha. Kuna yule mama mmoja sijui mwenyekiti wa UWT...somebody Simba alieysomea eti Marekani. Unakumbuka mahojiano yake na Mwanakijiji....mimi hata sikumwelewa alichokuwa anakiongelea ingawa alikuwa anaongea Kiswanglishi
 
Back
Top Bottom