Hongera na wewe kuanzisha thread.
Haya anaitwa NSYUKA
Umefurahi?
Hii si tayari post ipo jukwaani,chunga sana tutaifuta ebooo
Unachekesha sana inaonyesha jinsi gani uelewa wako ulivo duni. . Kwani kuanzisha thread mashindano? Si lazima uchangie kila thread hey!!
yani umemjibu kishambenga loo
haya back to topic mimi wangu "i wish he could be mine "