Describe your ex only with movie titles..

lol lol. . This was such a fun thread Kwann mpaka sasa hakuna ya current! Naenda ianza Kama ifuatavyo! Pliz allow me . .lolest
 
Hongera na wewe kuanzisha thread.
Haya anaitwa NSYUKA
Umefurahi?
 
Hongera na wewe kuanzisha thread.
Haya anaitwa NSYUKA
Umefurahi?

Unachekesha sana inaonyesha jinsi gani uelewa wako ulivo duni. . Kwani kuanzisha thread mashindano? Si lazima uchangie kila thread hey!!
 
Hii si tayari post ipo jukwaani,chunga sana tutaifuta ebooo

Wenye uwezo wa kuifuta wana upeo wa kuelewa kila thread inaongelea nini. . Sio watu wa kukurupuka kwa kujua maneno mawili kwenye post ya kiingereza kuguess inaongelea nn na kuifuta! Am having fun here Siko kwenye mashindano ya thread ngapi nimepost leo na si lazima uchangie kila post holalaaaa. .
 
Unachekesha sana inaonyesha jinsi gani uelewa wako ulivo duni. . Kwani kuanzisha thread mashindano? Si lazima uchangie kila thread hey!!

yani umemjibu kishambenga loo
haya back to topic mimi wangu "i wish he could be mine "
 
Back
Top Bottom