Deo Ngalawa ameteuliwa na CCM Ludewa kugombea ubunge

kzba

JF-Expert Member
Jun 19, 2014
1,356
789
Matokeo ya Ubunge kura za maoni CCM Ludewa

- Deo Ngalawa 537
- Philip Filikunjombe 501
- Mpangala 3
- Emmanuel Mgaya (Masanja Mkandamizaji) 19
- James Mgaya 72
- Dr Evaristo Mtitu 21
- Chaula 38

=====================
Deo Ngalawa ameteuliwa na wana CCM Ludewa kugombea ubunge wa jimbo hilo baada ya kushinda mchakato wa kura za maoni kwa kupata kura 537 dhidi ya kura 501 alizopata Philip Filikunjombe ambaye pia ni kaka wa marehemu Deo Filikunjombe aliyefariki katika ajali ya helkopta.

Mchakato unaendelea ngazi ya Kamati Kuu.

Zilizoharibika 2
 
nimefurahi sana masanja kupigwa chini...
washaanza kuona sifa kuwa kuchekesha watoto
kwenye TV ndio kuchukua ubunge,
hii nafasi inahitaji mtu makini na anaye yaishi
maisha ya wapiga kura wake
na sio kukurupuka kisa unaona sugu, prof J
wameshinda ubunge nbasi nawe kichwa kichwa nautaka ubunge wa Ludewa....kwendraaa zako Masanja
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaha bora maana alivyoona kuna SUGU,JOSEPH HAULE na yeye akadhani ni rahisi hivyo,washamtumia na kama atakuwa kwenye ubora wake asubiri kutumika tena 2025.
 
Hahahahaha bora maana alivyoona kuna SUGU,JOSEPH HAULE na yeye akadhani ni rahisi hivyo,washamtumia na kama atakuwa kwenye ubora wake asubiri kutumika tena 2025.

2020 pia kuna uchaguzi mwingine
 
Masanja ingekuwa ngumu kutokana na siku za Karibuni kuwa na ubishoo na kusahau alipotoka, watu wa kujijini kwao wakimpigia simu huwa hapokei wameamua kumlaani kisa dharau zake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom