Deo Munishi na John Mallya wa CHADEMA

mkuu yule alishinda kwa kupitia mchakato na uko wazi kama ule wa riz1 kule chalinze? au unataka ulinganishe na huo wa akina kileo, mnishi na malya? kwani huko chadema hakuna makabila mengine wanaoruhusiwa kugombea? maana tumeona hata akina Zitto wakitolewa baru kwa kukikodolea kiti cha mbowe.

Akili za kiabunuasi siku zote ni SHIDAAA... Hao uliowataja hawana uwezo? utendaji wao unauonaje? Unataka tuwaache watendaji tuanze kuteua kwa makabila na ukanda kama ambavyo ikulu inavyofanya kwa mawaziri?...wachina wanasema Rangi ya paka si hoja, hoja ni uhodari wake wa kukamata panya... Kasumba ya kuteu kwa kufuata ukanda na ukabila bila ya kuangalia vigezo muhimu imeturudisha sana nyuma Watanzania...
 
huko chalinze hakuna mgombea zaidi anaweza kuongoza zaidi riz i
demokrasia imechua nafasi yake. kura zilipigwa kuanzia kwenye chama mpaka kwenye jimbo-nec. sasa sijui mlitakaje? au ukiwa mtoto wa kiongozi huruhusiwi kugombea? naona mnaniletea usiku tu nyie misukule.
 
wewe ni wivu tu unaokusumbua, hakuna lingine pole.

Ni ujinga kumnyooshea kidole mwenzio unayemtuhumu kujamba huku wewe mwenyewe ukiwa umejiharishia dhahiri hapo ulipo!,CCM munapandikiza watt wenu kila sehemu nyeti na nono ktk taifa hili halafu munatuletea vipropaganda vya kipuuzi hivi! Hamujiulizi watoto wa viongozi waliokalimbikiziwa mali na vyeo na baba zao leo wako wapi? Nendeni libya,misri,tunisia,Ilakhi n.k.Mulivyo manyumbu wala amujui kuwa kama baba ukiwa fisadi uliyevaa joho la siasa ni mbaya sana kumruhusu na mtoto wako ajivike joho hilohilo kufanyia ufisadi tena! Hata huyu riz mwanzoni alikuwa anakwepa kashfa za utajiri wake wa ghafla kwa kigezo ni wakili hivyo akituanbia kazi inamlipa! Sasa nayeye amejisahau amejikuta kaja kuvaa joho lilelileeee.Kweli sikio la kufa halisikii dawa
 
jamaani naangalia ukurasa-EATV nimeona viongozi wa bavicha Dar wakilalamikia waendesha pikipiki kuingia katikati ya jiji. lakini naombeni mnisaidie kunitoa tongotongo jamani. hivi hakuna makabila mengine zaidi ya wachaga wanaoweza kuongoza huko chadema? nimeshangaa jiji la Dar lililojaa makabila mbalimbali lakini nafasi zote muhimu zinaongozwa na wachaga tu kuanzia mwenyekiti wa mkoa henry kileo kumbe mpaka bavicha mwenyekiti na katibu ni mnishi na malya.
msaada tafadhali, kulikoni wachaga na chadema?

HUU NDIYO UZI WA KIJINGA KABISA KWA KIPINDI CHA MIaka MITATU ILIYOPITA !
 
hawa wachaga wanauwezo chadema tu na sio vyama vingine? ungeniambaia hata CUF ccm nccr manunuzi na tlp zote zina viongozi wachaga dar ningekuelewa. lakini hili la chadema ni changa la macho.

Akili za kiabunuasi siku zote ni SHIDAAA... Hao uliowataja hawana uwezo? utendaji wao unauonaje? Unataka tuwaache watendaji tuanze kuteua kwa makabila na ukanda kama ambavyo ikulu inavyofanya kwa mawaziri?...wachina wanasema Rangi ya paka si hoja, hoja ni uhodari wake wa kukamata panya... Kasumba ya kuteu kwa kufuata ukanda na ukabila bila ya kuangalia vigezo muhimu imeturudisha sana nyuma Watanzania...
 
CHADEMA(CHAga DEvelopmental MAnifesto) asili yake ni uchagani na lengo ni kuwaweka wachaga madarakani na kuhakikisha wanamiliki uchumi,siasa na utamaduni,kifupi chadema ni chama cha kikabila(uchaga/ukanda na udini),jiulize huyo mnishi na mallya ni wadini gn na kanda gn km sio kaskazini.
 
unaangalia mgombea anayeuzika na kukubalika kwa wananchi,pia ushawishi wa mgombea,elimu ya mgombe nk,na vyote riz anavyo!!!na imedhihirika baada ya kushinda kwa asilimia karibia 90!!viva ccm!!!
 
ABUNUAS, Great minds discuss Development issues, while empty mind discuss people. Ningefurahi sana kama utasema huendi Muhimbili kwa sababu madaktari bingwa wengi wachaga, nitafurahi sana kama ukisema hutaenda kusoma vyuo vikuu hasa SUA, Mlimani na kwingine kwa sababu wahadhiri wengi ni wachaga, Nitafurahi sana kama utasema hulipi kodi kwa sababu wafanyakazi wengi ni wachaga. Wahenga walisema "Ajuaye uchungu wa kijiwe kilichoingia ndani ya kiatu ni mvaa kiatu" ama "pilipili usioila haiwezi kukuwasha". Kwa maana ingine wanachadema hawajalalamika wewe nini kinakuwasha? Cameroon wahed.
 
"Karne ya (21) watu mnaongea makabila"!!!
ni kweli hatusitahiki ila wachaga wamezidi. wanaleta ukabila mpaka kwenye siasa ndo maana wanapeana nafasi hizo kishikaji. hivi hamuoni walivyojazana chadema? as if hakuna makabila mengine zaidi yao. mbona hawajajazana NCCR manunuzi? maajabu haya.
 
matusi ya nini sasa? siujibu hoja tu kama kweli una busara?
hiyo mifano yako uliyotoa yote umeishia kusema wachaga wengi lakini hujasema wachaga wote.sasa mimi nashangaa wachaga wote kuwa ndo viongozi wajuu nje ya kilimanjaro kama unavyojua nchi yetu ilivyo. tena sehemu yenyewe dar ambako zaidi ya watu mil5 na makabila yote 120 yamejaa pale. kulikoni?
 
Lakini hujiulizi walivyojazana kwenye biashara miji yote tz? Wamejezana kama watumishi huko halmashauri, mawizarani, mavyuoni, mabenki, waalimu, madaktari, waiguzi, manesi, kuanzia shoe shiners, wamachinga, wauza baa, wafanyabiashara wadogo wa kati na wakubwa... wanejazana wao. Mbona hilo hamjiulizi?
 
wachaga ni kama wahindi, nafasi zote nyeti kwenye kampuni lazima washike wao wenyewe.
 
matusi ya nini sasa? siujibu hoja tu kama kweli una busara?
hiyo mifano yako uliyotoa yote umeishia kusema wachaga wengi lakini hujasema wachaga wote.sasa mimi nashangaa wachaga wote kuwa ndo viongozi wajuu nje ya kilimanjaro kama unavyojua nchi yetu ilivyo. tena sehemu yenyewe dar ambako zaidi ya watu mil5 na makabila yote 120 yamejaa pale. kulikoni?

Acha Kufikiri Kwa Kutumia tigo.
 
Henry kilewo ni katibu kanda ya dar es salam wa DAR toka mwanga na sio mwenyekiti, mwenyekiti bavicha ni mkuryia wa Tarime, na katibu wake ni Deo ni wa Dar toka moshi

Mallya ni simanjiro

Haya editi sasa thread yako uliza swali sasa, kama hoja ya ukabila hapo hakuna na imechuja sasa hapo kuna (mkurya, mmasai, mchaga)
umetoa ufafanuzi murua sana jamaa yangu hakika we mtu post za ukabila kabila huwa zinanikela sana japokuwa mi sio cdm
 
Ikumbukwe John mallya ndo yule aliyemuua Chacha Wange.

"Aliyemuua" ndio hoja kuu ya thread hii au. kuwa mwanaume husiseme uongo pasipo na udhibitisho.

Kutembea na ID Fake sio kigezo cha kuongelea uamuzi wa mahakama, kuna ndugu wa wange humu watakutafuta udhibitishe utaweza.
 
Back
Top Bottom