DEO AGRO COMPANY
Member
- Jun 25, 2015
- 14
- 7
DEO AGRO COMPANY
Ni kampuni mpya ambayo inajihusisha na mambo ya kilimo, kwa sasa imeanza na kilimo cha cha mbogamboga na matunda, kwa kua ndio imeanza imekodi hekari sita kwa miaka mitatu na inatumia drip irrigation katika umwagiliaji,inazalisha mchicha, nyanya vitunguu, tikitimaji, karot,cabbage na matango. mazao haya yanazalishwa kwa awamu, lakini kwa mpango wa baadae tunawaza kuwa wasambazaji wa mazao ya kilimo, pembejeo na zana za kilimo,pia tunatafuta wafadhiri zaidi ili kufikia malengo tajwa, na tunatafuta wawakilishi mikoan ambao wanataaluma ya kilimo ambapo kwa sasa watafanya kazi kwa kujitolea huko walipo kwa lengo la kutafuta soko la bizaa zinazo zalishwa na kampuni hii, kwa sasa kampuni haina wateja wengi ingawa ina wateja kenya(nairobi),serengeti,mwanza mjini,arusha na tabora,pia ingawa uzalishaji una awamu mbili sasa lakini tumejihakikishia uzalishaji kwa mwaka mzima,tuko tayari kuingia mkataba wa kusapply katika taasisi mbalimbali tz,
kwa mawasiliano
(deo.agroc@gmail.com)tupo mwanza magu.