DENMARK: Quran 2 zapigwa kibiriti nje ya balozi za Uturuki na Misri nchini Denmark

Waandamanaji wenye misimamo mikali nchini Denmark wamezichoma Quran 2 nje ya balozi za nchi za Misri na Uturuki. Waandamanaji hao wanapinga sera za serikali za kuwakaribisha wakimbizi kutoka nchi za kiislamu na kiafrika katika nchi yao.

Hayo yanajiri wiki 3 baada ya mkimbizi kutoka Iraq aliyepewa hifadhi nchini Sweden kuipiga kibiriti Quran nje ya ubalozi wa Kuwait nchini Sweden.

The anti-Islam demonstration in Copenhagen comes after a string of Quran burnings in Sweden and Denmark in recent weeks. Qurans burned outside Egyptian, Turkish embassies in Denmark
---

Qurans burned outside Egyptian, Turkish embassies in Denmark
The anti-Islam demonstration in Copenhagen comes after a string of Quran burnings in Sweden and Denmark in recent weeks.

A small group of far-right protesters set fire to copies of Islam’s holy book, the Quran, in front of the Egyptian and Turkish embassies in Denmark’s capital Copenhagen.

Tuesday’s anti-Islam demonstration in Copenhagen by a far-right, ultra-nationalist group called Danish Patriots followed Quran burnings the group staged on Monday and last week in front of the Iraqi embassy.
Two such incidents have also taken place in neighbouring Sweden over the past month.

Iraq’s foreign ministry on Monday called on authorities of EU countries to “quickly reconsider so-called freedom of expression and the right to demonstrate” in light of the Quran burnings.

Turkey on Monday said it strongly condemned what it called a “despicable attack” on the Quran and called on Denmark to take necessary measures to prevent this “hate crime” against Islam.

The Egyptian foreign ministry on Tuesday summoned Sweden’s charge d’affaires to condemn the desecration of the Qurans.

Denmark’s government has condemned the burnings as “provocative and shameful acts” but said it does not have the power to block non-violent demonstrators.

Danish Foreign Minister Lars Lokke Rasmussen said on Tuesday he had “had a constructive phone call” with his Iraqi counterpart Fuad Hussein on the two countries’ bilateral relations and the Quran burnings.

“Repeated DK’s condemnation of these shameful acts carried out by few individuals. Emphasized that all protests must remain peaceful,” he wrote on X, the social network formerly known as Twitter.

“People benefit from an extended freedom of speech when they demonstrate,” University of Copenhagen law Professor Trine Baumbach told the Reuters news agency, explaining Danish laws.
Kubwa jinga MK254 umekuja kwa I'd nyingine,, naona hii ni habari njema kabisa kwako.
 
Hivyo ni vitabu kama vitabu vingine. Yule sheikh mjinga aite wenzake wasome sijui nini vile ili wachomaji waelekee jehana moja kwa moja
Miaka ya nyuma kipindi Sheikh Sharif mdogo sana anaonekana kama mtoto wa maajabu basi alikuwa anazungushwa Kila sehemu kufanya mihadhara na kutoa dahwa siku akaja mtaani kwetu keko machungwa wakat Yuko kwenye kutoa mawaidha akatokea muhuni mmoja akamtukana sana wafuasi wa munyaazi mungu wakataka wamtie adamu yule jamaa ila Shekh Shariff akawaasa wamuache akaamuru wamsomee albadir ilichukua kama dk 10 nzima Cha ajabu mpaka Leo Shariff nasikia ana miaka zaid ya 30 jamaa aliyesomewa albadir anadunda tu .
 
Ha ha ha ha ha

Mkuu ngoja nkukumbushe kitu, miaka ya nyuma tukiwa primary kwenye ile dini ya munyaz mungu zilikuwa zinatolewa picha kuonesha jinsi gani watu walivyobadilika kuwa viumbe wa ajabu pale walipokojolea kitabu au kuchoma moto kitabu cha munyaz mungu.

Lakini cha ajabu leo hii watu wanazipiga tu kibiriti na kukojolea vile vile na bado wanadunda.
 
Uchokozi tu huo tena wa makusudi, mwishowe wanaweza kushambuliwa kama wale wachora vibonzo kule Ufaransa.
Ww unahis wazungu ni km waafrika , anzen muone mauaji ya haraiki kwa ndugu zenu , wazungu wakorof kuliko kweny huu ulimwengu
 
Kupinga wageni na Uislam wako sawa kabisa. Wana tamaduni zao ambazo hawataki ziingiliwe na tamaduni za kigeni, tena zilizo na vinasaba vya uvivu, fujo na ghasia.
Pia tusidhani wanachofanya ni jambo la kipekee, tukumbuke ni miezi machache iliyopita Wapemba waliandamana kupinga ujenzi wa Kanisa huko Pemba.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Kbs
 
Miaka ya nyuma kipindi Sheikh Sharif mdogo sana anaonekana kama mtoto wa maajabu basi alikuwa anazungushwa Kila sehemu kufanya mihadhara na kutoa dahwa siku akaja mtaani kwetu keko machungwa wakat Yuko kwenye kutoa mawaidha akatokea muhuni mmoja akamtukana sana wafuasi wa munyaazi mungu wakataka wamtie adamu yule jamaa ila Shekh Shariff akawaasa wamuache akaamuru wamsomee albadir ilichukua kama dk 10 nzima Cha ajabu mpaka Leo Shariff nasikia ana miaka zaid ya 30 jamaa aliyesomewa albadir anadunda tu .
Hz dini zinatutoa akili kwanz kabla hazijakuingia akilin , ni uzombie mtu kuendeshwa na hiz dini zenye taratib za enz za giza
 
Waende Saudi na nchi za kiislam kisa cha kwenda kwenye nchi zisizo za kiislam alafu mnataka dini lenu mliweke vichwani mwa watu mkome. Muende Iran, Saudi nk kwa ndugu zenu.
 
Na bado Utasikia watu wakisema "Denmark" "Wanatusaidia" Denmark ni "Marafiki" Wazungu "wanatujali"

Wache wafanye hivyo ni ndio Demokrasia ilivyo.
 
Waandamanaji wenye misimamo mikali nchini Denmark wamezichoma Quran 2 nje ya balozi za nchi za Misri na Uturuki. Waandamanaji hao wanapinga sera za serikali za kuwakaribisha wakimbizi kutoka nchi za kiislamu na kiafrika katika nchi yao.

Hayo yanajiri wiki 3 baada ya mkimbizi kutoka Iraq aliyepewa hifadhi nchini Sweden kuipiga kibiriti Quran nje ya ubalozi wa Kuwait nchini Sweden.

The anti-Islam demonstration in Copenhagen comes after a string of Quran burnings in Sweden and Denmark in recent weeks. Qurans burned outside Egyptian, Turkish embassies in Denmark
---

Qurans burned outside Egyptian, Turkish embassies in Denmark
The anti-Islam demonstration in Copenhagen comes after a string of Quran burnings in Sweden and Denmark in recent weeks.

A small group of far-right protesters set fire to copies of Islam’s holy book, the Quran, in front of the Egyptian and Turkish embassies in Denmark’s capital Copenhagen.

Tuesday’s anti-Islam demonstration in Copenhagen by a far-right, ultra-nationalist group called Danish Patriots followed Quran burnings the group staged on Monday and last week in front of the Iraqi embassy.
Two such incidents have also taken place in neighbouring Sweden over the past month.

Iraq’s foreign ministry on Monday called on authorities of EU countries to “quickly reconsider so-called freedom of expression and the right to demonstrate” in light of the Quran burnings.

Turkey on Monday said it strongly condemned what it called a “despicable attack” on the Quran and called on Denmark to take necessary measures to prevent this “hate crime” against Islam.

The Egyptian foreign ministry on Tuesday summoned Sweden’s charge d’affaires to condemn the desecration of the Qurans.

Denmark’s government has condemned the burnings as “provocative and shameful acts” but said it does not have the power to block non-violent demonstrators.

Danish Foreign Minister Lars Lokke Rasmussen said on Tuesday he had “had a constructive phone call” with his Iraqi counterpart Fuad Hussein on the two countries’ bilateral relations and the Quran burnings.

“Repeated DK’s condemnation of these shameful acts carried out by few individuals. Emphasized that all protests must remain peaceful,” he wrote on X, the social network formerly known as Twitter.

“People benefit from an extended freedom of speech when they demonstrate,” University of Copenhagen law Professor Trine Baumbach told the Reuters news agency, explaining Danish laws.
Hawa jamaa mnawapa kichwa mnavyoandamana waache wachome. Wakiona kimya wala hawatarudia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom