DENMARK: Quran 2 zapigwa kibiriti nje ya balozi za Uturuki na Misri nchini Denmark

MTZ 255Dar

JF-Expert Member
Sep 25, 2018
1,114
3,768
Waandamanaji wenye misimamo mikali nchini Denmark wamezichoma Quran 2 nje ya balozi za nchi za Misri na Uturuki. Waandamanaji hao wanapinga sera za serikali za kuwakaribisha wakimbizi kutoka nchi za kiislamu na kiafrika katika nchi yao.

Hayo yanajiri wiki 3 baada ya mkimbizi kutoka Iraq aliyepewa hifadhi nchini Sweden kuipiga kibiriti Quran nje ya ubalozi wa Kuwait nchini Sweden.

The anti-Islam demonstration in Copenhagen comes after a string of Quran burnings in Sweden and Denmark in recent weeks. Qurans burned outside Egyptian, Turkish embassies in Denmark
---

Qurans burned outside Egyptian, Turkish embassies in Denmark
The anti-Islam demonstration in Copenhagen comes after a string of Quran burnings in Sweden and Denmark in recent weeks.

A small group of far-right protesters set fire to copies of Islam’s holy book, the Quran, in front of the Egyptian and Turkish embassies in Denmark’s capital Copenhagen.

Tuesday’s anti-Islam demonstration in Copenhagen by a far-right, ultra-nationalist group called Danish Patriots followed Quran burnings the group staged on Monday and last week in front of the Iraqi embassy.
Two such incidents have also taken place in neighbouring Sweden over the past month.

Iraq’s foreign ministry on Monday called on authorities of EU countries to “quickly reconsider so-called freedom of expression and the right to demonstrate” in light of the Quran burnings.

Turkey on Monday said it strongly condemned what it called a “despicable attack” on the Quran and called on Denmark to take necessary measures to prevent this “hate crime” against Islam.

The Egyptian foreign ministry on Tuesday summoned Sweden’s charge d’affaires to condemn the desecration of the Qurans.

Denmark’s government has condemned the burnings as “provocative and shameful acts” but said it does not have the power to block non-violent demonstrators.

Danish Foreign Minister Lars Lokke Rasmussen said on Tuesday he had “had a constructive phone call” with his Iraqi counterpart Fuad Hussein on the two countries’ bilateral relations and the Quran burnings.

“Repeated DK’s condemnation of these shameful acts carried out by few individuals. Emphasized that all protests must remain peaceful,” he wrote on X, the social network formerly known as Twitter.

“People benefit from an extended freedom of speech when they demonstrate,” University of Copenhagen law Professor Trine Baumbach told the Reuters news agency, explaining Danish laws.
 
Hivyo ni vitabu kama vitabu vingine. Yule sheikh mjinga aite wenzake wasome sijui nini vile ili wachomaji waelekee jehana moja kwa moja
Hicho ni kitabu kinachogusa imani za watu.kwa hiyo hapo unagusa imani za Watu,hisia za Watu.
 
Hahaha waafrika no wamekataliwa kiujumla au ungeona baadhi ya wadini humu wanavyokuja na maneno machafu. So haijalishi kama mwafrika uwe muislamu au mkristo wote mnatupwa nje? Hahaha funny shit right there!
 
Waandamanaji wenye misimamo mikali nchini Denmark wamezichoma Quran 2 nje ya balozi za nchi za Misri na Uturuki. Waandamanaji hao wanapinga sera za serikali za kuwakaribisha wakimbizi kutoka nchi za kiislamu na kiafrika katika nchi yao.

Hayo yanajiri wiki 3 baada ya mkimbizi kutoka Iraq aliyepewa hifadhi nchini Sweden kuipiga kibiriti Quran nje ya ubalozi wa Kuwait nchini Sweden.

The anti-Islam demonstration in Copenhagen comes after a string of Quran burnings in Sweden and Denmark in recent weeks. Qurans burned outside Egyptian, Turkish embassies in Denmark
Uchokozi tu huo tena wa makusudi, mwishowe wanaweza kushambuliwa kama wale wachora vibonzo kule Ufaransa.
 
Waandamanaji wenye misimamo mikali nchini Denmark wamezichoma Quran 2 nje ya balozi za nchi za Misri na Uturuki. Waandamanaji hao wanapinga sera za serikali za kuwakaribisha wakimbizi kutoka nchi za kiislamu na kiafrika katika nchi yao.

Hayo yanajiri wiki 3 baada ya mkimbizi kutoka Iraq aliyepewa hifadhi nchini Sweden kuipiga kibiriti Quran nje ya ubalozi wa Kuwait nchini Sweden.

The anti-Islam demonstration in Copenhagen comes after a string of Quran burnings in Sweden and Denmark in recent weeks. Qurans burned outside Egyptian, Turkish embassies in Denmark
---

Qurans burned outside Egyptian, Turkish embassies in Denmark
The anti-Islam demonstration in Copenhagen comes after a string of Quran burnings in Sweden and Denmark in recent weeks.

A small group of far-right protesters set fire to copies of Islam’s holy book, the Quran, in front of the Egyptian and Turkish embassies in Denmark’s capital Copenhagen.

Tuesday’s anti-Islam demonstration in Copenhagen by a far-right, ultra-nationalist group called Danish Patriots followed Quran burnings the group staged on Monday and last week in front of the Iraqi embassy.
Two such incidents have also taken place in neighbouring Sweden over the past month.

Iraq’s foreign ministry on Monday called on authorities of EU countries to “quickly reconsider so-called freedom of expression and the right to demonstrate” in light of the Quran burnings.

Turkey on Monday said it strongly condemned what it called a “despicable attack” on the Quran and called on Denmark to take necessary measures to prevent this “hate crime” against Islam.

The Egyptian foreign ministry on Tuesday summoned Sweden’s charge d’affaires to condemn the desecration of the Qurans.

Denmark’s government has condemned the burnings as “provocative and shameful acts” but said it does not have the power to block non-violent demonstrators.

Danish Foreign Minister Lars Lokke Rasmussen said on Tuesday he had “had a constructive phone call” with his Iraqi counterpart Fuad Hussein on the two countries’ bilateral relations and the Quran burnings.

“Repeated DK’s condemnation of these shameful acts carried out by few individuals. Emphasized that all protests must remain peaceful,” he wrote on X, the social network formerly known as Twitter.

“People benefit from an extended freedom of speech when they demonstrate,” University of Copenhagen law Professor Trine Baumbach told the Reuters news agency, explaining Danish laws.
Kupinga wageni na Uislam wako sawa kabisa. Wana tamaduni zao ambazo hawataki ziingiliwe na tamaduni za kigeni, tena zilizo na vinasaba vya uvivu, fujo na ghasia.
Pia tusidhani wanachofanya ni jambo la kipekee, tukumbuke ni miezi machache iliyopita Wapemba waliandamana kupinga ujenzi wa Kanisa huko Pemba.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Hicho ni kitabu kinachogusa imani za watu.kwa hiyo hapo unagusa imani za Watu,hisia za Watu.

Pole maana ndio wameshachoma hicho kitabu cha mwarabu, punguzeni mihemko waswahili, mjifunze kuvumilia maana hata waarbu wenye dini yao siku hizi wameanza kupata uvumilivu, kitambo matukio kama haya yangesababisha walipuke mabomu, ila kwa sasa wanachukulia poa.

Dini inapaswa ionyeshe uvumilivu haipaswi iwe chanzo cha mauaji na mateso....
 
Kupinga wageni na Uislam wako sawa kabisa. Wana tamaduni zao ambazo hawataki ziingiliwe na tamaduni za kigeni, tena zilizo na vinasaba vya uvivu, fujo na ghasia.
Pia tusidhani wanachofanya ni jambo la kipekee, tukumbuke ni miezi machache iliyopita Wapemba waliandamana kupinga ujenzi wa Kanisa huko Pemba.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
What's goes around comes around
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom