Mfukutuzi
JF-Expert Member
- Feb 15, 2015
- 239
- 175
Deni la Taifa limepanda na kufikia Shilingi Trilioni 40,hivyo kila mtanzania anadaiwa shilingi laki nane na hamsini na sita (856,000/=).
Umeshajiandaa kulipa?.
Chanzo: EATV
MY take;
Kuendelea kuibakiza CCM madarakani ni sawa na kumkabidhi kibaka Pochi yako eti akushikie kwa matumaini labda kaacha wizi, utaliwa tu.
(Anayebeza haya ni yule asiyejua deni la Taifa analilipa vipi kama Raia na pengine anajua ila ni ushabiki tu usio na maana)