Deni la Shigongo kumbe si kwamba anazungushwa kulipwa bali halilipiki

Deni la Shigongo kumbe si kwamba anazungushwa kulipwa bali halilipiki. Fikiria tisheti moja aliiuza kwa elfu 95 mpaka Bibi Zakhia akamuuliza
''zilikuwa ni za kivita kwa maana ya bulletproof t.shirt?''

Na kofia aliuza moja sh 50. Pia akaulizwa 'uliuza kofia au Hellement?'

Hayo maswali yalimpa kiu na kuomba apatiwe maji.
Hawaku sign contract?...amtafute majura magaf waende mbele!
 
Deni la Shigongo kumbe si kwamba anazungushwa kulipwa bali halilipiki. Fikiria tisheti moja aliiuza kwa elfu 95 mpaka Bibi Zakhia akamuuliza
''zilikuwa ni za kivita kwa maana ya bulletproof t.shirt?''

Na kofia aliuza moja sh 50. Pia akaulizwa 'uliuza kofia au Hellement?'

Hayo maswali yalimpa kiu na kuomba apatiwe maji.
kwanini CCM ilikubali kununua??
 
Deni la Shigongo kumbe si kwamba anazungushwa kulipwa bali halilipiki. Fikiria tisheti moja aliiuza kwa elfu 95 mpaka Bibi Zakhia akamuuliza
''zilikuwa ni za kivita kwa maana ya bulletproof t.shirt?''

kumbe bibi Zakia nae kichwa, maswali yake yote yameenda shule. Ata ingekuwa ni mimi lazima ningejisikia kiu na kuomba maji.

Na kofia aliuza moja sh 50. Pia akaulizwa 'uliuza kofia au Hellement?'

Hayo maswali yalimpa kiu na kuomba apatiwe maji.
 
Pamoja na yoooote kama alisaini mkataba ni lazima chama chetu kilipe tu hakuna namba maana walishazoea kujipigia fedha za chama chetu
Subutu, mikataba mingine haitekelezeki. Mbona nasikia yule kada mwenzetu mwenye kiwanda kilichotengeza ARV, alitakiwa kulipawa fidia ya mabilioni. na sizani kama amelipwa
 
Deni la Shigongo kumbe si kwamba anazungushwa kulipwa bali halilipiki. Fikiria tisheti moja aliiuza kwa elfu 95 mpaka Bibi Zakhia akamuuliza
''zilikuwa ni za kivita kwa maana ya bulletproof t.shirt?''

Na kofia aliuza moja sh 50. Pia akaulizwa 'uliuza kofia au Hellement?'

Hayo maswali yalimpa kiu na kuomba apatiwe maji.
Msg za Whatsapp ni shida
 
Lakini si hizo ndo biashara za ccm? Wewe unadhani hata wale wasanii wa kipindi cha kampeni hupokea chote walicho saini kwenye mkataba?

Hilo lilikuwa dili la watu sema alikosea timing ya kudai.

Ngoja aonje joto ya jiwe. Mlizoea sana kunyonga wananchi sasa Ngoja mnyongane nyinyi kwa nyinyi
 
Deni la Shigongo kumbe si kwamba anazungushwa kulipwa bali halilipiki. Fikiria tisheti moja aliiuza kwa elfu 95 mpaka Bibi Zakhia akamuuliza
''zilikuwa ni za kivita kwa maana ya bulletproof t.shirt?''

Na kofia aliuza moja sh 50. Pia akaulizwa 'uliuza kofia au Hellement?'

Hayo maswali yalimpa kiu na kuomba apatiwe maji.
Aliezoea kula nyama ya mtu haachi - JK NYERERE .
 
Deni la Shigongo kumbe si kwamba anazungushwa kulipwa bali halilipiki. Fikiria tisheti moja aliiuza kwa elfu 95 mpaka Bibi Zakhia akamuuliza
''zilikuwa ni za kivita kwa maana ya bulletproof t.shirt?''

Na kofia aliuza moja sh 50. Pia akaulizwa 'uliuza kofia au Hellement?'

Hayo maswali yalimpa kiu na kuomba apatiwe maji.
Kinachoonekn hapo kama ni kweli basi wazee wlimwambia ajaze tu zitalipwa na wao wana cha juu. Sasa yawezekana wengine hakupita wengine washtumbuliwa. Sasa zigo loote la lawama analo yeye. Kwa wanaojua michezo ya manunuzi hawawezi shngaa hapo hat punje. Kuna ofisi zinanunua mayai ya kuchemsh moja 2000 na zinalipwa!!
 
Pamoja na yoooote kama alisaini mkataba ni lazima chama chetu kilipe tu hakuna namba maana walishazoea kujipigia fedha za chama chetu
kama waliweza gawana m10 kwa kila mbunge, watalipa tu tena kwa baraka zote kama baraka walizopata kwa m10 kila mtu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom