Deni la Dowans kweli laweza kukamatisha mali za Tanzania zilizo nje?

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
234


Leo gazeti la Majira lleo imeandika kwa kumnukuu Jaji Mark Bomani akisema kwamba Dowans wasipolipwa kuna hatari mali za nchi hii zilizo nje ya nchi kuweza kukamatwa.

Aidha katika mdahalo mmoja wa TV hivi karibuni kuna mchangiaji mmoja alitamka hayo hayo. Jee Wana-JF hii ya kukamatwa mali za nchi yetu zilizo nje lawezekana kwa suala hili la kudaiwa na Dowans? -- kwani nafahamu serikali yetu inadaiwa na wengi tu, wa ndani humu na wa nje. Kwa nini hili la Dowans ndiyo liibue hofu kubwa na ya kipekee ya kukamatwa mali?

Nawasilisha.
 
Inavyoelekea huyu mwizi Rostam hapati usingizi. Anatumia pesa nyingi kuwalipa watu anaowaona wana ushawishi mkubwa kwa serikali yetu goigoi ili afanikishe wizi huo.

Huyu Mzee Bomani ni spenta up force na nasikia ana hali ngumu ya kifedha, kwani alikuwa mtumiaji wa kimatanuzi huko nyuma.

Tutawaona wengi tu watasajiliwa na Rostam kumpigia debe apate hizo hela za Watanzania. Tayari tumemwona Prof Bana, Absolmi Kibanda – Mhariri wa T. Daima, na pia wako wengine.

Ingawa inashangaza kwa nini Mbowe asimfukuze kazi huyu, kwani mara nyingine gazeti lake hubeba habari zinazokwenda kinyume kabisa na wanachosimamia Chadema.

Tusishangae sana wiki wiki hii tukamuona mtu kama Kingunge naye akajitosa kutamka kitu kama hicho. Wapo pia Peter Kisumo, Stephen Mashishanga na hata Mzee Lyatonga. Rostam akipoteza bilioni moja au mbili ili apate bilioni 90 iko mbaya gani?

Lakini iwapo mali za Tanzania (yaani za Watanzania) zitakamatwa huko nje, basi itakuwa ni harakati binafsi ya Rostam katika uendelezo wa hujuma zake dhidi ya Watanzania.

Ni mtu mbaya sana huyu na mara nyingine mimi hulia kwa sauti kubwa kwa uchungu kutokana na nchi yetu kuwa na bahati mbaya kuwa naye mongoni mwetu.
 
Kama itawezekana kukamatwa mali za nje bora tu iwe hivyo kuliko kukubali tu kulipa kirahisi namna hii
 
mark bomani n mtu wa karibu na ZITTO KABWE NA WAKAT WA KAMATI YA MADINI MARK BOMANI ALIKUWA KWENYE KAMATI MOJA NA ZITTO KABWE AMBAPO KAMATI HIYO IMEWAPOTOSHA WATANZANIA kutokana na kukumbatiwa na WATU WA ROSTAM AKIWEMO ZITTO KABWE NA BOMANI
 
mali za tanzania nje haziwezi kushikwa na weziiiiii, labda hiyo mahakama itakayo enforce hiyo ruling iwe toka nchi zisizo hubiri utawala bora.
 
hivi kumbe tuna mali nje eh?zina fanya nini huko na kwanini zisiwe tanzania?
don't tell me na tanzania imewekeza sehemu fulani?
 
Back
Top Bottom