Kaka vitu vingine sio sifa.... imagine ungekua umeoa then mke wako akajifungua, anatakiwa kukaa almost 40 bila kula tunda... ingekuwaje?
vivian bado unang'ang'ania tena kwenda Tarakea?Umemuona mwenzio ameanza kujiandaa?Ndugu zang kama umjuavyo tabia za wachaga mwishoni mwa mwaka lazima warudi wakahesabiwe makwao.Msichana wang nae yupo kwenye hilo kundi hivyo ntakuwa free mpaka january 2014.Msichana mzuri mwenye mvuto anayetaka tuwe wote kwa hiki kipindi anipm. Tafadhali lazima uwe na mvuto.
Ndo furaha yangu