Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,615
- 38,590
Kama mnavyojua wkend inamambo mengi ,leo nikiwa nimekaa sehemu napata mbili tatu akaja dada mmoja kwa muonekano anaonekana mcharuko hajatulia...dada hyo kaja kaunta kaanza kuomba bia,kapewa ulabu wa kutosha hee kumbe manzi mwenyew hana kichwa cha pombe si kaanza kuropoka...
Anasema nanukuu...."nimekutana na wanaume watatu lakini hawajanifanya kitu"
Tukamwambia dada vipi akasema nimekutana na mmoja kampiga goli 5(khamsa) hajamridhisha akahamua kumchukua mwingine nae akampiga 5(khamsa) pia hakuridhika kabla hakujapambazuka akaenda kutafuta mwingine huyo ndio mchovu kabisa kampiga 2...dada kwa uchungu anasimulia kwa uchungu hajaridhika japo jumla kapigwa goli 12, tukamwambia utakua umeshindikana wewe jaribu kutulia maisha haya usiyapaparikie...jibu alilotoa ni kwamba kesho anarudi kwa yule mwanaume wa kwanza aliempiga goli 5 labda anaweza kumfikisha.
Daima mbele nyuma mwiko
Tukutane taifa
Sent using Jamii Forums mobile app