Demu wa ajabu..goli 12 na bado anataka tena

Hazard CFC

JF-Expert Member
Apr 7, 2015
16,615
38,589
Kama mnavyojua wkend inamambo mengi ,leo nikiwa nimekaa sehemu napata mbili tatu akaja dada mmoja kwa muonekano anaonekana mcharuko hajatulia...dada hyo kaja kaunta kaanza kuomba bia,kapewa ulabu wa kutosha hee kumbe manzi mwenyew hana kichwa cha pombe si kaanza kuropoka...
Anasema nanukuu...."nimekutana na wanaume watatu lakini hawajanifanya kitu"
Tukamwambia dada vipi akasema nimekutana na mmoja kampiga goli 5(khamsa) hajamridhisha akahamua kumchukua mwingine nae akampiga 5(khamsa) pia hakuridhika kabla hakujapambazuka akaenda kutafuta mwingine huyo ndio mchovu kabisa kampiga 2...dada kwa uchungu anasimulia kwa uchungu hajaridhika japo jumla kapigwa goli 12, tukamwambia utakua umeshindikana wewe jaribu kutulia maisha haya usiyapaparikie...jibu alilotoa ni kwamba kesho anarudi kwa yule mwanaume wa kwanza aliempiga goli 5 labda anaweza kumfikisha.

Daima mbele nyuma mwiko

Tukutane taifa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ghost hyo
 
Unajipa vyeo,goli 12 nguvu zako au nguvu za kuboost??? Hakuna anaeweza kwenda idadi hiyo kwa nguvu zake. Acha kutumia dawa ukiendelea miaka 40 hutakua na uwezo tena wa kwenda hata 1 la kwako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom