Dekoda ya Continental inahujumu channel ya ITV, ni wivu au?

Makaura

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
892
293
Imekuwa ikifika saa 19:58 itv inakatika kabisa ama ina scrach na muda mwingine inapotea kabisa hadi saa 2300, iweje channel zingne ziwepo isipokua itv? Achani kutukera!
 
Uko Dar au wapi? Yangu ghafla tu haipati channel zao japo zingine ambazo hazirushwi na Continental nazipata.
 
Hata Itv leo kwenye dstv chanel 293 inascrach sana jaman rekebishen
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom