Lord Lofa
JF-Expert Member
- Dec 26, 2011
- 2,363
- 2,324
Kipindi huyu Mwalimu anapewa vibali na Katibu Mkuu ofisi ya Rais ofisi yako haikuweka Tangazo kuupa umma taarifa.
Hili tangazo umelitoa kwa msukumo wa kisiasa ukiamini unawafurahisha wakubwa zako, inasemekana Mwalimu huyu ni miongoni mwa waliokataa uteuzi wa Rais.
Hapa busara haijatumika zaidi ya msukumo wa kisiasa na uchawa tu, fanyeni kazi ya Kuisaidia serikali kutatua kero kwa Wananchi ndipo mtawafurahisha wakubwa na wananchi pia sio kila nyakati mpambane kufanya vihoja vya kichawa chawa