Dc anusurika kichapo Kilwa

ha ha haaa!!! hata ROMA haikujengwa kwa siku moja, ngoja na sie tutengeneze MOU pale ikulu, kampasi na ma-vyuo mbona vitachipua kama uyoga??? hivi wewe kwa akili yako, umeona waislamu ni mambumbu kiasi hicho, ianwezekana hawana utitiri wa taasisi kama dini zingine, lakini haimaanishi kuwa ni mambumbu, au unasahau kuwa ndo waliokuwa mstari wa mbele hata kwenye kudai uhuru wa hii nchi??? p'se DO NOT UNDERESITMATE MUSLIMS, DO NOT, DO NOT DO NOT P'SE.
so what????
what happen after that?
usikariri mkuu kama wenzio na miaka 50 ya uhuru!!!!
think loud
 
ha ha haaa!!! hata ROMA haikujengwa kwa siku moja, ngoja na sie tutengeneze MOU pale ikulu, kampasi na ma-vyuo mbona vitachipua kama uyoga??? hivi wewe kwa akili yako, umeona waislamu ni mambumbu kiasi hicho, ianwezekana hawana utitiri wa taasisi kama dini zingine, lakini haimaanishi kuwa ni mambumbu, au unasahau kuwa ndo waliokuwa mstari wa mbele hata kwenye kudai uhuru wa hii nchi??? p'se DO NOT UNDERESITMATE MUSLIMS, DO NOT, DO NOT DO NOT P'SE.

Jana kwenye salam za Iddi nilishangaaa kuwa mnajisifu kwa kujenga misikiti mingi Ruvuma lakini sikusikia kama mmejenga shuke, hospital au huduma nyingine za kijamii then mnalalamika mnataka usawa
 
vipaumbele gani,Peri?? Horizontal expansion ya Chuo Kikuu si kitu kikubwa??? Poleni sana!!! Baada ya Sensa sijui mtakuja na single gani maana Salio lenu la malalamiko ya ki-inferiority complex ni 9950GB
 
Chuo Kikuu cha Kiislam cha Morogoro kimefungua branch/kampasi ngapi tangu kuanzishwa kwa msaada wa serikali ya awamu ya tatu?

wakipata MOU kama makanisa chuo nacho kitajiimarisha. CCM wanangoja makanisa yawakubalie ndio waislam nao wapewe
 
Back
Top Bottom