Dawasco mmeshindwa kazi ya kutuletea maji??????

Babu Ubwete

Senior Member
Jan 26, 2008
169
29
Peeepz Power. Tuna shida ya maji karibu mwezi mzima hakuna lolote mnaloongea kwenye Press, Kuna maana gani ya Dawasco kuwepo kama maji hatupati. Tuanhitaji maji ya Bomba na sio siasa.
 
Target yako ni wapi hasa!! Peeepz Powa au Dawasco???? ishu ya Dawasco ni skendo usiichanganye na mambo mengine ya kupotosha wachangiaji.
 
Back
Top Bottom