DAWASA inatesa na kuwanyanyasa vibarua na wafanyakazi wa mikataba

TOG

New Member
Nov 24, 2022
4
4
Nasalimu kwa jina la Jamhuli ya muungano wa Tanzania.

Tungependa kutoa dukuduku letu, na malalamiko yetu ambayo yanatokana Manyanyaso na Mateso ambayo yanafanywa na taasisi ya DAWASA (Shirika la Serikali inayo huduma ya Majisafi Dar es Salaam na Pwani).

1. Dawasa inakawaida ya Kutumia Vibarua katika kazi za muda mfupi, haswa katika miradi mbalimbali ya Uchimbaji wa kulaza Mabomba ya maji. Vibarua hawa wanafanya kazi usiku na Mchana, kwa moyo na kwa ufanisi. Lakini Dawasa inakawaida ya kuwatumikisha kama watumwa, ambapo unakuta wanacheleweshewa kulipwa haki ya malipo yao kwa wakati. Tena unakuta inaweza kupita ata zaidi ya Miezi minne (4 monthss) hawajalipwa malipo yao.

Hii inaathiri saana morari, na hamu ya Vibarua hawa katika utendaji kazi wao, uchumi wao na kupelekea kugeuka kua Omba omba kwa jamii.

Malalamiko haya, hayapo tuu katika upande wa Maji safi, pia yapo katika Kitengo cha ofisi ya Majitaka ambapo pia hucheleweshewa malipo yao kwa mda mrefu.!

Je, hii sawa?? Je hii ni Haki?? Je ndio utatatibu ulivyo serikalini?!

2. Pia, DAWASA inaenderea kuwatesa/kuwanyanyasa wafanyakazi wa Mikataba, kwa kuendelea kuwadanganya kua Itawaajiri kila mwaka, lakini hawafanyi hivyo. Ukizingatia Vijana hawa wengi wao wameshakaa zaidi ya Miaka Minne mpaka Mitano, bila kuajiriwa, huku wakiongezewa Mikataba ya mda tuu.

Vijana hawa wameshafanya Interview tayari, wengi wao wamefaulu vizuri tangu tangu mwaka 2022. Na imeshapita zaidi ya Miezi Kumi na saba (yaani ni more than 17 months) tangu wafahulu mitihani yao na kupewa majibu ya Ufahulu.

Lakini DAWASA, Wanatumia kigezo cha kusema kua wanasubiria Approvol/kibali kutoka Ofisi ya Utumishi pamoja na Ofisi ya Rais.!

Je, kuna ukweli hapo? Au ni janja janja tuu ambayo DAWASA inaendelea kuwahadaa vijana hawa wa Mikataba?

Tunakumbuka, Mhe. Dkt. Rais SSH, alishasema mwezi Marchi 2023, kua taasisi ya UTUMISHI wasicheleweshe kutoa vibali vya ajira. Na kwa kauli ya Rais hatudhani kama Utumishi bado wanashikilia vibali hivyo vya Dawasa vya Ajira.

(Maana mfano tumeona Taasisi mbali mbali kama TRA, Tanapa, Vyuo, TAKUKURU, TAMISEMI etc.. hawa tayari wameshapewaa vibali vya ajira na wameshajiri watu tayari.)

Na kama vibali vipo ofisi ya Rais, Tunaamini Ofisi ya Rais ni sikivuu na inajali raia wake. Tafadhali TUNAOMBA Ofisi ya Rais iruhusu vibali hivyo vya Ajira kwa Dawasa.

------
Tafadhalini DAWASA tunaomba Mbadilike, haya maswala mabaya ya kucheza na Maslahi na maisha ya yatapelekea kuZOROTA kwa ufanisi wa Kazi katika Utendaji kazi ndani ya Dawasa.

Angalizo;
Pia, tunaomba ofisi ya Finance ndani ya Dawasa ibadilike na kuwa Bora zaidi. Kwani system yao ya malipo ni mbaya sana. Na hatujui wanatumia mfumo gani wa malipo ya Serikali!

Kwakua inatesa wanyakazi katika maslahi yao, na vibarua waliofanya kazi. Pia ina punja maslahi ya wafanyakazi na Stahiki zao, inachelewesha saaaana malipo ya wafanyakazii (kama malipo ya mafunzo, ya uhamisho, malipo ya kazi ya ziada spesho task na extra Duties, ikiwemo Mishahara ya wafanyakazi).

Dawasa Ofisi ya Finance Inamfumo wa kupendelea maBoss tuu, na sio wafanyakazi wa Kawaida.
(mfano; Mfanyakazi wa Kawaida mpaka alipwe, ni hadi pale Umfuate fuate Mkurugenzi wa Finance na watendaji kazi wake, ndio unakuta unalipwa STAHIKI zako).

- USHAHIDI UPO, Wafanyakazi wa Dawasa wanaweza kuthibitisha hilo, ni Mateso sana wanayofanyiwa.

CEO wa sasa hivi wa DAWASA yupo vizuri sana, tunaamini kua kadri mda unavyozidi kwenda, atayashugulikia Malalamiko haya na kuifanya Taasisi ya Dawasa kua Imara saana.

Nakala Kwa;
●Bodi ya Dawasa
1. Wizara ya Maji.
2. Ofisi ya Rais Utumishi.
3. Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira, Vijana na Ulemavu.
4. Ofisi ya Hazina Taifa.
5. Ofisi ya Rais - Katibu Mkuu Kiongozi.

Tunaamini kua Ofisi tajwa hapo juu ni Sikivu na zitalifanyia kazi Malalamiko hayo ya Watanzania kwa Weledi na Utaratibu mzuri.

Mungu Awabariki, Asanteni.
 
Na aione Jumaa Aweso na Prof Jamal Katundu, uwongo?

Wataiona lakini mkuu? Na nyie muache kutubambikia unit za uwongo kwenye mita.
 
Barikiwa sana
 
Back
Top Bottom