Dawa za kurefusha na kunenepesha uume na njia mbadala

Hili ni Tatizo kubwa sana kwa vijana wengi. wa jinsi ya kike wanaamini kubwa ndio dili.. na wa kiume pia? Ngono imekuwa ndio sehemu muhimu sana kwenye mahusiano..
 
Hiyo ndiyo size ya kawaida kabisa mwanangu usihofu tena huwa inachoma kama sindano,mitaimbo mikubwa haina maana au unataka wakukimbie chumbani au uvishwe pete?huyo aliyekuambia uongeze kakudanganya kama ni mchumba mwache kabisa kazoea mitaimbo tafuta wa size yako kawaida uume ukiwa katika shughuli unaongezeka to satisfy your girl,hofu ondoa mshukuru mungu kukuumba hivyo mengine ukijaribu unaweza kuambulia uhanisi.
 
Mmmmh kama ya mtoto vile, yaani sitaki hata kuimagine la zaidi jiamini tu na uwe mjanja kwenye 6x6. Mimi sioni tatizo ikiwa unapata haja ndogo kama kawaida, mengine ni ujanja wako na hiyo kitu.

Wanawake walio wengi hawawez kuihimili inch 7-8 hiyo unayoiomba coz wengi wao utawaharibu cervix zao, kwani vagina sio ndefu kama hata wao wanavyofikiri. Afu, cha mhim ni urefu wake ikiwa imesimama, coz zinatofautiana sana jjinsi ya kurefuka baada ya erection.
 
pole sana!but ridhika na ulichonacho jifunze tu kukitumia vzur.mfano kutumia style ambazo znaongeza friction.na ucpende kutafuta dawa ya kuongeza coz ukiipata itabid uanze kutafuta dawa ya kuipa nguvu.jiamini!
 
Kwani huyo mwenzi wako amelalama kuwa unakipipi??? Kama ni hivyo basi tafuta mwenye kijishimo kidogo
 
acha kutuzalilisha wewe ulishaona madereva wote ni warefu niufundi wako tu,watu kama ninyi mnatafutwa kutokana na pumzi ya kupiga mbizi
 
ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi

usikimbilie kutaka ukubwa wa size wakati sehemu muhimu za kugusa huzijui
 
sheeeeeeeeeeeeee....chanjiaa mdodokiii,unajichanjaa uume then unachanjaa dodokii unapaka utovuu wa dodoki kwenyee uume na damu kwenye dodoki,unaliacha likue jinsi linavyo kuwaa na mzigo ndo unavyo kuwaaa,angalizo wekaa alamaa hiloo dodoki linaweza kuwaa kubwaa sanaa au ukashindwa kulitambua baada ya miezi sitaaa.uka mshinda mandigo

Achaa huu ujinga kwa kufuata huu ushauri utakuongezea ngeu kwenye hako ka soseji kako kwani kameshawahi kuchomoka ghafla pale bibie alipokohoa au kupiga chafya hicho ndo kipimo cha kisosej kidogo.
 
Okay - so what IS the Best Way to Permanently Enlarge Your Penis?
Hard work and all natural male enhancement exercises is the very BEST super size solution that I know of. Exercises that expand the tissue in the penis, as well as allow for a greater flow of blood are VERY effective, are NOT painful, and do NOT require embarrassing and unnecessary trips to your local doctors office to boot! There are in fact lots of other lifestyle changes you can make - believe it or not, you diet DOES in fact play a role in how long and strong your erections become (with antioxidants found in Dark Chocolate, Berries and even Green Tea helping dilate blood vessels) and in conjunction with a natural work out regimen, you WILL get great gains in a hurry!

As with everything else in the Men's health domain, knowledge is POWER, and information is EVERYTHING!
And remember, with our modern day understanding of anatomy, and the variety of holistic, alternative, natural approaches to OPTIMIZING our bodies in all sorts of ways...it is now common practice for men everywhere, who know how - to systematically improve, build and increase our penis size and do it quickly.
The need for creams, hanging weights and other esoteric methods are not only strange and potentially dangerous - they are also finally completely obsolete and unnecessary.
So while they may be laughing at you behind your back...trust me, they won't be for long! Take a little bit of time and learn how your anatomy works, and how simple exercises and optimizations you can make, everyday can yield a RADICAL increase in your penis size without the worry. I did...and it was the best decision I ever made!!
 
sikilza rafiki yangu!!! Ukfanya uchunguzi vizuri utagundua kua wanawake weng wanaopata raha ya sex, maboy wao wana uume wa kawaida kabsa(mdogo ama size ya kati) maana ktk nyeti za mwanamke ni inch mbili na nusu tu za mwanzo ambazo zina nerves za hisia ya tendo la ndan na ukishazgusa hzo bac atafikia kileleni kama atakavyo!! Cha mcng zingatia sex position nzuri ili wote muweze kuenjoy!! Ucpotezwe na ile mijamaa ya kwenye pono videoz, zaid inawaumiza wapenz wao
 
Hii ni hulka ya mtu mweusi kutaka vitu vikubwa hata kama hana sababu za msingi ya kuwa na hicho kitu.


Mswahili akiwa na uwezo atataka gari ya speed 360 hata kama hawez kuendesha kwa hata robo ya hiyo speed,

Atapenda kuwa na nyumba kubwa hata km hana ulazima wa kuwa na nyumba kubwa ivo.

Ni hulka nothing else!
umemaliza mkuu
 
Imenigusa hii! We are in the same boart man!!! Lakini mbona hawa jama wa jamii hamna hata wakutuokoa? Hau nawao wako kama sisi?? Jamani tusaidieni dawa zakulirefusha nakunenepesha angalau inchi 12 likisimama.
 
Imenigusa hii! We are in the same boart man!!! Lakini mbona hawa jama wa jamii hamna hata wakutuokoa? Hau nawao wako kama sisi?? Jamani tusaidieni dawa zakulirefusha nakunenepesha angalau inchi 12 likisimama.

...du, hii kali. 12" alafu kesho uje useme unataka kuipunguza!
 
Unajuwa kwa nini uko hapa Duniani ? Kama haujui jiulize kila unalolifanya lina mapungufu ? Je umeweza kuona mapungufu ya huo mwili mkuu mapungu mengine hujayaona ? Nakushauri kuwa saizi uliyo nayo ni saizi toshelezi kabisa na umeipata kwa sababu maalum ukitaka kuingoza haitakuwa na tija. Jikubali jinsi ulivyo kwani ulefu wa mtambo uko akilini mwako.
 
Dawa za kichina si nzuri lakini pia hata size yako sio mbaya pia ni nzuri kama ukijiamini.. tatizo ninaloliona kwako ni kuwa wewe mwenyewe unapenda size kubwa ila unaweza ukawa nayo kubwa na mwenzio asipate raha yoyote, kwa hiyo kama unaona kuna ulazima wa kuongeza ebu check kwanza wakati wa game je mpenzi wako anakuwa satisfied if she is ok with it then you dont need to enlarge it.

Ukiona kuna ulazima sana basi tafuta wataalamu wanaweza kukupa mbinu za kufanya mazoezi ya kurefusha au ukapewa tiba mbadala.
thanks
 
Back
Top Bottom