Dawa za kurefusha na kunenepesha uume na njia mbadala

We Jamaa Baki Na Kipisi Chako Tu Hawa Wanawake Wa Cku Hizi Hakuna Mwenye Uwezo Wa Kuvumilia Hata Inchi 9 Tu Utasumbuka Bure....Me Hapa Ni Mhanga Inchi 11 mpk sasa Nakimbiwa Tu.
 
Mnatafuta kufanya mamboo yenu kuwa kama maputo huku yakipoteza senses (hisia) za kiume! What's the use?! Badala yake jifunzeni techniques za kuwaridhisha wanawake wenu. That is all.
 
MstahikiMeya
mkubwa zaidi yako.
mkuu usichanganye habari unaweza kua na mgegedo mkubwa lkn ukawa ni kubwa jinga nacho amini mimi siku zote ni jinsi gani unasimamia show mwanzo adi mwisho sikubaliani na wewe hata kidogo[/QUOTE]

Mi nachokiona katika mada hii ni kwamba,mi nachojua hakuna cha mgegedo mkubwa au mdogo, tatizo ni kwamba bahadhi ya watu hawajiamini tu, kinachomata ni ubunifu katika maufundi tu, alafu asilimia kubwa wanaotaka kubadili migegedo yao kwa namna yeyote ni Malaya, mi sidhani kama mkeo awezataka ujibadili maumbile yako! Maana ili iweje sasa,haiwezekani.
 
Na mimi naomba kuongezea swali hapo pia, je ni saizi gani ya uuume ambayo ni standard? au kuna kiwango cha urefu ambacho huwa ndio standard? Na je kinapimwa wakati gani? wakati uume ukiw aumesimama au wakati ukiwa umelegea (umelala)?

Uume ukisimama unapaswa kuwa na inch 7 mkuu! Chini ya hapo ni kibamia hicho!!!
 
Tafuta dodoki ambalo bado halijakomaa lichanje na wembe alafu uchanje na uume wako kisha chukua majimaji yanayotoka kwenye dodoki upake hapo kwenye uume ulipo pachanja,fanya hivyo pia kwa kuchukua damu ya kwenye uume upake kwenye dodoki. Jinsi dodoki linavyo kua ndio ukubwa wa uume utakuwa.

Si kweli hii kitu ni uongo mtupu, usifanye wenzako wakajiumiza bure
 
Habari wana JF,

Naomba kujua nini msaada kwa wale wenye uume mwembamba i mean sio mfupi lakini ni mwembamba.

Naombeni msaada.
 
Ngoja waamke asubuhi...watakuja na majibu ila sidhani kama inawezekana labda mchina ahisike
 
vijana wa sasa mmewekeza sana kwenye Ngono, kila siku ni hayo hayo. Mwenyezi mungu ameumba wembamba, warefu, wafupi wanene n.k. lakini hamlidhiki mungu alivyowapa!. Kijana achana na hayo mawazo kwani wengi wenye maumbile makubwa wameondoka kwa HIV, walikuwa wanajiamini sana. kijana fanya kazi achana na hilo kwani naamini ukipata unalolitaka utajifanya wewe ndio jogoo popote utataka kuwika.
 
Pole sana kaka! Usitegemee msaada humu jamii forum kwa mambo kama hayo, kila mtu atajifanya ni negative kwako..!
 
Back
Top Bottom