Heheheheh vitu kama vp vipo kibao Zenji teh teh teh
Unasema kweli Mkuu Fidel80 Au ni Uzushi mtupu? Tuonyeshe basi kama unaasema kweli Vitu kama hivyo vipo Zenji tetetehehahahahahaha zenji eeh
mdau embu chungulia 'signature' yako? kununue/kununua? halafu ua/au????This picture is very marvelous, i like it. Ila hatari ipo hapo mbele kwa watoto wetu kwani hizi dawa zinaweza kubadili genes za watumiaji hivyo watoto wao wanaweza kuwa half watu half ...................... jamani Mwacheni MUNGU AITWE MUNGU na kazi ya MUNGU haina makosa, ukikosoa ndo unakuwa hivyo.
Unasema kweli Mkuu Fidel80 Au ni Uzushi mtupu? Tuonyeshe basi kama unaasema kweli Vitu kama hivyo vipo Zenji tetetehe
Hahahaha una maana huamini? We nenda pale Unguja pitia club kwa Rajju au Wajela jela au nenda pale Gymnkana kula mingo pale uone mitoto ya kizenji inavyo ingia kuanzia mida ya saa 3.30 usku na kwendelea.
Huyo inaonyesha alikuwa ni mnyanyua vitu vizito!