Dawa za kichaa cha mbwa hakuna nchini!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Habari za huakika nikwamba dawa za kutibia mtu aliyeng'atwa na mbwa hakuna nchini baada yakutoke mgonjwa kufariki juzi Mhimbili kutokana na kung'atwa na mbwa!Baada yakwenda MSD Nakuambiwa dawa hizo hatuna!!!Wakaenda kwenye Hospital zote za Dar nakuambulia patupu!
Na mgonjwa ni marehemu sasa!!!Be care take care!:frusty:
 
Back
Top Bottom