Dawa ya Wanaojikausha Kupokea Simu.

Jaribu uone mkong'oto wake utakavyokuwa! Halafu ukute mtu unaemfanyia ni Bishanga ambae bado anahangaikia deni la FINCA, weweeeee!
 
  • Thanks
Reactions: awp
Mtoboasiri, au la PRIDE na TUJIJENGE, nimechekaje? umenikumbusha mbali saan kuhusu hizi NGO's
 
Last edited by a moderator:
Duuuuuuu!!!!!!!!!!!!!! balaa lake hata cpatii picha, cwezi lazimishwa kupokea simu.

  • A%20S%20angry.gif

 
Safi sana maana ilikuwa inawapigia kelele. Mh Binti.com you made my day!
 
Last edited by a moderator:
eeeh sina mbavu,nimeipenda sana ngoja nikatekeleze!!
ila na mie nna tabia ya kupotezea simu
 
Back
Top Bottom