Dawa ya mke mkorofi

NyaniMzee

JF-Expert Member
Nov 24, 2010
396
727
Kama wewe ni mkristo na una mke mkorofi na umechoka naye ila ukifikiria kumwacha unashindwa kwa vile divorce hairuhusiwi katika christian marriage, jaribu kufanya hivi:

Mwambie kuwa umefikiria na kuamua kubadili dini, usipoteze muda waone wahusika usilimishwe. Hatakataa wewe kubadili dini kwa vile ni haki yako. Utakapokuwa converted baada ya muda mwambie dini yako inaruhusu kuoa mke wa pili na una uwezo wa kuwatunza wote.

Bila kupoteza muda tafuta umpendaye na funga ndoa, huyo mkorofi atakuwa bi mkubwa na bi mdogo ni huyo mpya. Kama Bi mkubwa atastahimili huo ukewenza ukorofi utakuwa umeisha.

Lakini uwezekano ni kuwa atafungasha na kutokokomea ajuako yeye, utabaki na Bi mdogo ambaye with time we mwambie umetafakari na kuona huna budi kurejea ktkt dini yako ya awali.

Chukua hatua haraka na rudi kundini hapo utakuwa umeondokana na kelele, technical divorce.

Mnasemaje hapo wanaJF?
 
Kama wewe ni mkiristo na una mke mkorofi na umechoka naye ila ukifikiria kumwacha unashindwa kwa vile divorce hairuhusiwi katika christian marriage, jaribu kufanya hivi: mwambie kuwa umefikiria na kuamua kubadili dini. usipoteze muda waone wahusika usilimishwe. hatakataa wewe kubadili dini kwa vile ni haki yako. utakapokuwa converted baada ya muda mwambie dini yako inaruhusu kuoa mke wa pili na una uwezo wa kuwatunza wote. bila

Mke mdogo akiwa mkorofi kuliko mke mkubwa utafanyaje? Wewe naee!
 
Mh. Maelezo yako yanaonekana too simple wakati tatizo na solution uliyotoa ni more complex.
 
I hope my bf will not go thru this sredi


ila kwa mtazamo wangu huko nyumbani unaipatapata toka kwa mkeo.
 
Nyumba kubwa- that's a simple solution for a complex problem. unaachana na mkorofi kilainiii and may be at no cost.
 
Hutaweza kuwa na mme mkubwa na mdogo. it applies for men only

Nani kasema sintoweza??
mmmhhh haki sawa.....
wakati tunafunga ndoa
sijasikia padri akisema
mume wako anaweza kufanya hili
na wewe huruhusiwi...
nway ajaribu bahti yake..
 
sasa bibi mdogo akiwa kapenda uislamu hataki kwenda kwenye ukristo itakuaje?
nahisi utakua unajikomoa mwenyewe na sio huyu mke mkubwa.
 
Kama wewe ni mkiristo na una mke mkorofi na umechoka naye ila ukifikiria kumwacha unashindwa kwa vile divorce hairuhusiwi katika christian marriage, jaribu kufanya hivi: mwambie kuwa umefikiria na kuamua kubadili dini. usipoteze muda waone wahusika usilimishwe. hatakataa wewe kubadili dini kwa vile ni haki yako. utakapokuwa converted baada ya muda mwambie dini yako inaruhusu kuoa mke wa pili na una uwezo wa kuwatunza wote. bila kupoteza muda tafuta umpendaye na funga ndoa. Huyo mkorofi atakuwa bi mkubwa na bi mdogo ni huyo mpya. Kama Bi mkubwa atastahimili huo ukewenza ukorofi utakuwa umeisha, lakini uwezekano ni kuwa atafungasha na kutokokomea ajuako yeye. utabaki na Bi mdogo ambaye with time we mwambie umetafakari na kuona huna budi kurejea ktkt dini yako ya awali. chukua hatua haraka na rudi kundini hapo utakuwa umeondokana na kelele. technical divorce!!!! mnasemaje hapo wanaJF?

mbinu zako za kutafuta waumini ziko very advanced.
Waache wanaofikiria kwa urefu wa namanjogoro waje kwa wingi kujiunga
 
kwani alosema wakristo awapeani talaka ni nani? Talaka inatolewa na mahakamaaijalishi ni dini gani
 
Yani huko ndo utakutana na matatizo makubwa bora umvumilie huyo bi mkubwa kuliko kwenda kuoa mke mwingine na itakucost mno make percent kubwa ma bi mdogo hawataki shida na utashangaa ukishamuoa anakuambia anataka nyumba kama aliyonayo bi mkumbwa mara nataka gari kama mke mwenzagu aliyonayo sa hapo kama huna hela ndo utaaendelea kuchanganyikiwa sijui utaenda kuoa mke wa tatu au la!
 
Unabadili dini unakuwa budhist hahaha! Solution ngumu kuliko tatizo,job tru tru as u wud say ? Lol!

acha tu Uporoto! kwa akili au ushauri wa huyo jamaa ni job tru tru:)) ha ha
Utafikiriaje mwisho wa hatua yako kiasi hicho?lol
 
Inanikumbusha story moja ambapo, Mume alimuonea wivu Mke wake akidhani, house wife huwa hawana kazi. Hivyo akamwomba Mungu ambadilishe awe mwanamke kwa siku moja tu, ili Mke wake nae aende ofisini aone wanaume wanavyofanya kazi ngumu. Mungu mwenye wingi wa REHEMA akamsikia na akambadilisha akawa Mwanamke... Baada ya kumaliza kazi zote na kuandaa nguo za Mzee na Uniform za watoto kwa ajili ya kesho yake, ilikuwa saa 5 usk. Akapanda kitandani akalala na Mumewe...

Kesho yake akasema. No... Kumbe wanawake wanafanya kazi nyingi sana bora nimuombe Mungu, nirudie kuwa mwanamme.. MUNGU akamwambie, SORRY.. Inabidi usubiri miezi tisa kwanza....
 
kwani alosema wakristo awapeani talaka ni nani? Talaka inatolewa na mahakamaaijalishi ni dini gani

Alichokiunganisha Mungu bianadamu asikitenganishe. Ukiristo hauna talaka hadi kifo kiwatenganishe. hiyo ya mahakamani ni ya kisheria na utaishia kulipa maintenance costs za mtalaka wako for years wakati yeye anaendelea na mambo mengine.
 
Back
Top Bottom