Hi guys. ni muda sasa nimekua nikitafuta dawa ya kumwaga arthini kabla ya kuweka pavements kwenye car parking areas, lakini sijafanikiwa. nilienda kariakoo nikapewa feki . twiga chemicals wanasema hawana. TFDA wanasema hawana hebu anayejua anisaidie niweze kwenda nunua .