Dawa ya kutibu minyoo iliyopo tayari kwenye mzunguko wa damu

Sasa ndo ujue sio hadithi.Ni ukweli na binadamu anaweza kushambuliwa na minyoo kwenye ubongo na Ini lake kama hao minyoo wasipodhibitiwa mapema


Mkuu watu wengi hawafahamu hili. Mimi pia nimepata kitu kwenye maelezo yako.

Watu wengi wanaona minyoo ni no big deal.

-Kaveli-
 
Full blood picture ikaonesha minyoo na culture ya minyoo kwangu naona ni vipimo vigeni katika fani ya uganga.
 
Watabibu mje kutueleza minyoo ikifika kwenye ubongo na kwenye ini inatibikaje
 
Back
Top Bottom