Dawa ya kuondoa chelewa (hangover)

Iyo makitu hata ukigonga sambamba na masanga hangover utaisikia tu...tatizo letu bia za 30,000 msosi wa 3000...
 
Lazima nipate sprite kama mbili za baridiiii nikishacheua namalizia na kukata GOGO A.K.A NYENGO hapo nakua nimepunguza mning'inio kwa 78% ila kama nna mpango wa kunywa tena sijisumbui ni kuzimua tuu na muwa
 
Jana nakiri nilipiga maji kinoma ,leo nimeamka na pombe kichwani nikawa sielewi wapi nimeweka simu yangu,

Niliitafuta mpaka nikahisi washaibeba nilipokuwa nimelewa,kumbe ni pombe ilikua bado kichwani,na simu ilikuwa chini ya mto hata sina habari.
 
, aya bhana mkuu
 
Dah....unaweza kudhani hali uliyonayo inesababishwa na pombe za jana kumbe imeletwa na mionzi ya simu ilikuwa inachoma ubongo wako usiku kucha
 
IMG_20171026_105520.png
 
Hivi kwanini walevi wanapenda kula nyama za ajabu ajabu kwa kisingizio eti ni dawa ya hangover? Utaskia wanakula goti la ng'ombe na kwato pia, masikio, matiti hadi na kengele za ng'ombe, afu kuna ule utumbo wanaita kitabu. Yaani hata ini hawalitambui tena. Pombe bana.
 
Back
Top Bottom