Mb-one
JF-Expert Member
- Aug 14, 2011
- 882
- 1,283
Hapo kwny chia seeds nmeijaribu kuitumia labda nianze tenaTumia maji ya chia seeds
Tembea kwa muda kidogo
Kunywa maji ya kutosha
Epuka vyakula vyenye wanga sana
Hapo kwny chia seeds nmeijaribu kuitumia labda nianze tenaTumia maji ya chia seeds
Tembea kwa muda kidogo
Kunywa maji ya kutosha
Epuka vyakula vyenye wanga sana
Diet gani mkuu uliitumiaMkuu dawa hatari sana fanya diet na mazoezi tu utaona matokeo mm nilikuwa na kg 93 now nina 73 na nina mpango wa j3 tareh 3kuanza tena diet na nataka nfanye mazoezi niwe fiti na sasaivi napiga mpaka bao 5
Hapo kwny chia seeds nmeijaribu kuitumia labda nianze tena
Na vipi hyo lunch ulikuwa unapiga wanga kama kawaida au ?Kupungua uzito kwanza inabid ujijue why umeongezeka uzito ghafla. Kuna watu wengne wana nature ya miili minene, kuna koo za namna hii, yan wao wale san wasile san wakifikisha umri flan wanakuwa mabonge automatically na kuna wengne ni viceversa, hata wafanyeje miili haiongezeki ng'oo.
Km unene wako sio geneticaly inherited basi kutakuwa na other causes ambayo ww binafsi unaijua. Kwa hiyo ukishaijua hiyo cause basi change that habit na utapungua bila wasiwasi.
Nikupe mfano, mm mwshon mwa mwaka jana nilikuw na 74kg. Kufika July mwaka huu zikaongezeka mpk 78kg. Kwa hiyo nikawa najiona mzito san plus kakitambi uchwara. Nikaona hii hali hapana. Lkn nikawa najua kabsa hii imesababishwa nature ya kaz yangu. Nilikuw nakula vzr lkn kile nachokula hakifanyi kaz ipasavyo.
Hivyo nikaamua kupunguza mlo, nikiwa kazin asbh sinywi chai nakula lunch tuu basi. Na nikirudi home sili tena chakula kizito, either nakunywa chai ya maziwa tuu ama naongezea na bites yyte ya kudanganyia tumbo. Ndani ya mwezi nilipunguza kilo 4, na mpk sasa znaendelea kupungua, nina 73kg now.
Kazi kwako.
Sure mkuu misosi ndo uharibu kila kitu me nimeweza kwa kweli ndani ya week tu nimebadili life style yangu lakini pia nafanya mazoezi makali sana yani nilichokipata ndani ya hii week kuna watu wanaweza kipata hata miezi sita....Ngoja nikwambie kitu ndugu.. hakuna dawa inayoweza kukupunguzia uzito, cha msingi ni kubadilisha vitu unavyokula au kupunguza kiasi unachokula na pia badili life style kama walivyokwambia hapo juu. Mazoezi ni 20% ya kupunguza uzito, 80% ni diet
Kweli kabisa mi nimepungua kwa kupunguza chakula tu nilikuwa na 80 sasa hivi kila nikipima uzito ni Kati ya 70 na 72 na hapo sifanyi mazoeziNgoja nikwambie kitu ndugu.. hakuna dawa inayoweza kukupunguzia uzito, cha msingi ni kubadilisha vitu unavyokula au kupunguza kiasi unachokula na pia badili life style kama walivyokwambia hapo juu. Mazoezi ni 20% ya kupunguza uzito, 80% ni diet
Sure mkuu misosi ndo uharibu kila kitu me nimeweza kwa kweli ndani ya week tu nimebadili life style yangu lakini pia nafanya mazoezi makali sana yani nilichokipata ndani ya hii week kuna watu wanaweza kipata hata miezi sita....
NB : ninaandika hii post kutokea viunga vya gym
Thanks mkuu....Yan mpaka kieleweke Sina mpango was kuomba mkopo kwa Sasa hivo sioni umuhimu wa hili ndambihaha hatari sana. keep it up mkuu.