Davis Mosha, Makamu Rais Yanga apigana Uwanjani Tanga

Huyu Davis ni muhuni tu hakuna haja ya kumtetea, ni mvuta bangi tokea enzi anasoma naamini bado hajaacha, kama wako wanaokumbuka enzi za Namfua watatueleza
 
Acheni majungu..muulizeni mwenyewe kwanza siyo mnamhukumu kwa vile hayupo hapa aweze kujitetea..ebo!
 
Acheni majungu..muulizeni mwenyewe kwanza siyo mnamhukumu kwa vile hayupo hapa aweze kujitetea..ebo!
Mwenyewe alisema Tuli alimtukana Morogoro na akawa anamtafuta ili ampige,na bahati nzuri wakakutana Tanga,na ndo ikabidi alianzishe livalangati sasa kwanini wasimalizane bila hata kurusha ngumi! Tumekosa medali New Delhi,kumbe mabondia wazuri walibaki nyumbani.

Kupigana hadharani,hasa kwa watu na heshima zao HAIKUBALIKI.
 
Back
Top Bottom